Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

hio sio sababu ya kutokwenda sababu kutoa ni hiari fanya kile moyo wako unaona amani japo kuna michango n lazima kutoa kama sadaka, fungu la kumi kuhusu ujenzi ni kwa ajili yako ww sasa utasali kwenye nyumba gani usipojenga!!!au hata kama n kuwasaidia wengine ujenzi n sawa kikubwa hamna anaekulazimisha.
Kwenda kanisani ni lazima .
michango mfululizo inapozidi kipato huwa kero kwa washirika. Watu wanapangwa kutokana na vipato vyao. Ila tuseme ukweli tu siku hizi huwezi kwenda kanisani kama mfukoni hakuna kitu
 
Kuna michango hadi inakera ila kutengwa sijawahi shuhudia kwa kweli.
Weee fungu la kumi na zaka usipotoa unaitwa unaulizwa kama una kazi kama unayo utatoa sababu kwanini haushiriki wanakupa warning ukiendelea kuto kutoa unatengwa.
 
Weee fungu la kumi na zaka usipotoa unaitwa unaulizwa kama una kazi kama unayo utatoa sababu kwanini haushiriki wanakupa warning ukiendelea kuto kutoa unatengwa.
Okay.

Sijawahi expirience hiyo kwa kweli.
Sema michango jamani imesababisha watu wengi wakae nyumbani😭.

Inasikitisha ila ukweli kanisa kwa sasa limegeuka pango la wanyang'anyi.
Neema ya bure imekua gharama kuipata.
Injili ya Yesu imegeuzwa biashara.
 
Okay.

Sijawahi expirience hiyo kwa kweli.
Sema michango jamani imesababisha watu wengi wakae nyumbani.

Inasikitisha ila ukweli kanisa kwa sasa limegeuka pango la wanyang'anyi.
Neema ya bure imekua gharama kuipata.
Injili ya Yesu imegeuzwa biashara.
Hakuna kipindi watu wanakimbia kama ukifikia wakati wa ujenzi mf. Church kwetu saivi Kuna ujenzi jengo lime cost almost m700 hivi watu wamekimbiaaaa subiri jengo liishe hujui wametokea wapi.
 
Imani yako hiyo katika kuamini Mungu hayupo ni kwa sababu una a very narrow and limited scope ya nafsi na mwili wako kuyaona mambo.
Na pengine ukiupata uwezo huo utakuwa Lucifer mwenyewe.
Hata ikiwa kweli nin a very narrow and limited scope, hilo nalo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na kiumbe chake chenye a very narrow and limited scope.

You are making my point without even knowing it!
 
inawezekana kwa alikuwa mchungaji ,hio haimaanishi kuwa aliijua Kweli.Halafu sijagusia chochote kuhusu mazuri ya Kanisa mkuu,
Nakwambia hivi, hoja iko nje ya mada, na mimi sijasema babu yangu alijua kweli, namaanisha siwezi kukosa points za kutetea kanisa kwa sababu hata mimi ni mtoto wa kanisani.

Nisichotaka ni wewe kuja ku derail thread kwa kuleta mada off point.

Anzisha mada ya mazuri ya kanisa, naamini naweza kukuelewesha mengine ambayo huyajui kuhusu somo hilo pengine.
 
N
Hata ikiwa kweli nin a very narrow and limited scope, hilo nalo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na kiumbe chake chenye a very narrow and limited scope.

You are making my point without even knowing it!
Nani kakwambia Mungu ana act solely kama the good buddy down the street?
Ingia miungu unayoijua na inayompinga, na kumbana na ghadhabu ya Mungu muweza wa yote.
 
Kwa sababu ulimwengu si milele ndo maana unaona shida zipo.
Dunia ni makao ya mda mfupi ya Mwanadamu ili afanye matengenezo kabla ya mlango wa rehema kufungwa ili kuelekea kwenye umilele yaani kutokufa.
Logical non sequitur.

Ukishakubali shida zipo, zipo tu. Suala la milele au si milele ni irrelevant.

Na huko kwenye umeilele hujathibitisha kwamba kupo.
 
Logical non sequitur.

Ukishakubali shida zipo, zipo tu. Suala la milele au si milele ni irrelevant.

Na huko kwenye umeilele hujathibitisha kwamba kupo.
Hakuna kifo hakuna shida huko.
 
N
Nani kakwambia Mungu ana act solely kama the good buddy down the street?
Ingia miungu unayoijua na inayompinga, na kumbana na ghadhabu ya Mungu muweza wa yote.
Mpaka sasa hujathibitisha kwamba Mungu yeyote yupo nje ya hadithi tu.

Labda tuanzie hapo, thibitisha Mungu yupo kwanza.
 
Back
Top Bottom