Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Shida ya makanisa ya SASA ni gospel for sale ,michango ni minigi mpaka Mungu mwenyewe atakuwa anatushangaa,ibada hazina mvuto SoMo la utoaji limeshika Kasi, ubatizo masharti kibao wachungaji mapadre tunawachangia Kila siku lakini hawatosheki hubuni majina mapya Kila wakati
umemaliza kila kitu..

Kwa sasa ni upigaji karibu makanisa yote ....
 
ok mkuu.
Amri za Mungu ni amri hizohizo alizozishika Yesu (Yohana 15:9-17)
Yesu aliziweka hizo mbili. Zimebeba zile amri zote zilizotajwa katika agano la kale.Ukimpenda jirani(binadamu mwingine yoyote) hutafanya jambo ambalo hupendi pia kufanyiwa.
Vipi ya kuzini?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Nilivyogundua wanatuambia tunamtolea Mungu alafu linakuja kapu la binadamu na kingine nikagundua kuwa Mungu hana duka ambalo anaendaga kununua vitu nikaona huu ni umavi tu kwa sababu mapastor wamenawili wafuasi wanatia huruma wakisubiria huruma ya Mungu nikaona kumanisha nini?
 
Huwezi kumkuta Muislamu hata akiwa haendi msikitini ,haswali na mfanya maasi akijianika na kujisifia kuwa haendi msikitini ,labda huyo awe ameachana na imani ya mara nyingi huwa ujasiri huo hana kwani nafsi yake itakuwa inamsuta.

Misingi ya Uislamu ni haitakiwi mtu kutangaza uovu wake ikiwa Mwenyezi Mungu amemsitiri kwani ni uovu mkubwa mtu kufanya kibri katika maasi na kujisifia kuliko hata uovu wa kosa lenyewe.Na kuna uwezekano mkubwa asitubie kwa kuona ni kitu kizuri ila yule mwenye hofu na akaficha aibu zake kuna uwezekano mkubwa wa kupata rehma akatubu au kusamehewa.

Ila nashangaa upande wenu kila mtu anafunguka bila wasiwasi kama amefanya jambo ambalo zuri , huu sio uzi wa kwanza upo uzi mwingine watu wakijisifia masiku ambayo wasiyoenda Kanisani wakijiona watabe . Unakuta na mtu humu anahubiri neno la biblia lakini u amkuta kesho anapost uzi jinsi anavyogegeda watoto wa watu tena wakati mwingine akijisifu bila aibu.
Maana yake Wakristo wana uwezo mkubwa wa kuhoji
 
Kwani wanahitajika astronauts ndo iwezekane mkuu?.

Kubali tu.
Mbona mi nimekubali kirahisi🤣
wee nimurembo muno.kurachuma hichoo😘😘😘😘😘😘😘😘😘😋😋😋😋😋😋😋😋😘😘😘
au tufanye hiviii 👉mmmmwwwaaaaaaaaaaaaaa
 
Hapana mkuu, mimi siyo Cutewife

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Ngoja mwanasheria wangu atoke evening glory ndo ntaongea ya moyoni🤣🤣🤣.

Inaonekana mim peke yangu ndo ninayefurahia kuitwa jinsia isiyo yangu.

Wenzangu wote mkiambiwa mnaruka futi kumi.
Dhibitisha wewe sio cokakola bin cute mke🤣
 
Baada ya kumtumia baba yangu kuwapatia wadhamini baada ya muda mrefu mzee naye akawa haezi tena basi wakamtimua na kumfungia asije tena kanisani tena hadi tukafungiwa geiti na walinzi wa kanisani pale Arusha mjini kati lutherani na huyo mchungaji alikuwa anaitwa mchungaji laroya , baadae tena mzee kavamiwa na hela za kujenga kanisa na kwa vipigo vyakutosha akafa pale makaburini watu wakasema bora amekufa tujilie vyetu ila sijaamini kafa eti .

Ila waleo hiyo dayosisi imefulia kabisa
 
Back
Top Bottom