adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,480
- 33,517
Ukitangaza unatoa promo za dhambi kwa wengine na kueneza uovu kuliko yule anayekaa kimya , mfano mimi nikianza kufichua maovu yangu kuna watu labda walikuwa wananihesabia kama kiigizo chao sasa wakijua na ikiwatokea situation kama yangu kupelekea kufanya dhambi watasema kama fulani yule kila siku swala tano na anafanya vitu fulani mimi ni nani nisifanye ?Usipotangaza ndio unakuwa forgiven?
Vilevile kutangaza ni dalili ya kibri kwamba aliweka makatazo si lolote hilo jambo ni kawaida.
Ndio mtu anakuwa Forgiven kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu kuna madhambi mtu atasamehewa kwa kuwa hakutangaza akayasitiri.



