Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,618
- 10,789
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na Uhamiaji.
Ukienda nchi jirani kama Kenya au kule Ulaya na Marekani, sheria za Uhamiaji ni msumeno—huwezi kukaa wiki mbili bila vibali vyako kueleweka. Lakini hapa kwetu Dar, Arusha, au Zanzibar, watu wanaishi tu kwa 'kona kona' na kujuana na wenyeji.
Yaani hapa unasaka sijui mualiko, nikifika ulaya ntaishi vipi gharama za nyumba kula nini,. Aisee bongo utawala sana. Chipsi 1500, chumba laki mpaka laki 4 safi kabisa. Unaingia kkoo pale unakula mkataba au sinza kodi.
Yaani tuseme yote Bongo ni a place to be. Hii ni world destination na kama vipi watu waje kwa wingi kuwekeza jamani.