Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

Kuna mwanasheria unammudu huko dada ,ili niwe na uhakika wa kushuka ya afande RPC na ICP mikoa yote wakipitia kwa wakaguzi na MaOCS ili ada za watoto waende shule ?
Hahaa tiririka mkuu!
Nihakikishie mapema ,nishuke utaratibu ulivyo mpaka ujue ukiona wamedakwa na kutangazwa ujue ni masikini walikuwa safarini sio wale wenyewe waliobeba chochote kitu kuja ugenini maana mgeni ukirimiwa
Uhakika🤝🏽 Shuka.. na waliobeba chochote kitu wasipotoa rushwa inakula kwao?
 
Kuna mwanasheria unammudu huko dada ,ili niwe na uhakika wa kushuka ya afande RPC na ICP mikoa yote wakipitia kwa wakaguzi na MaOCS ili ada za watoto waende shule ?

Nihakikishie mapema ,nishuke utaratibu ulivyo mpaka ujue ukiona wamedakwa na kutangazwa ujue ni masikini walikuwa safarini sio wale wenyewe waliobeba chochote kitu kuja ugenini maana mgeni ukirimiwa
Ila wewe jamaa uandishi wako😁😁
Utani utani kumbe unagongelea.

Hivi mkuu, RPC anaweza kushuka kwa OCS moja kwa moja na kufanya yao pasipo OCD kujua chochote?
 
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:

Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na Uhamiaji.

Ukienda nchi jirani kama Kenya au kule Ulaya na Marekani, sheria za Uhamiaji ni msumeno—huwezi kukaa wiki mbili bila vibali vyako kueleweka. Lakini hapa kwetu Dar, Arusha, au Zanzibar, watu wanaishi tu kwa 'kona kona' na kujuana na wenyeji.

Yaani hapa unasaka sijui mualiko, nikifika ulaya ntaishi vipi gharama za nyumba kula nini,. Aisee bongo utawala sana. Chipsi 1500, chumba laki mpaka laki 4 safi kabisa. Unaingia kkoo pale unakula mkataba au sinza kodi.
Yaani tuseme yote Bongo ni a place to be. Hii ni world destination na kama vipi watu waje kwa wingi kuwekeza jamani.
It's obvious haujatembea nchi nyingi, kuna nchi nyingi duniani unaweza kuishi hata maisha yako yote bila bugudha ya immigration officers mpaka utakapoamua kutoka(via airports or borders) ndipo utakapowatambua, yaani hata ukifanya criminal offences yataishia polisi, mahakamani na magereza bila ya immigration department kuhusishwa.
Tembea ujionee.
 
Ila wewe jamaa uandishi wako😁😁
Utani utani kumbe unagongelea.

Hivi mkuu, RPC anaweza kushuka kwa OCS moja kwa moja na kufanya yao pasipo OCD kujua chochote?
Inawezekana sana kama wanajuana au kuna mazingira yamewahi kuwakutanisha ,wanafanya sana harakati zao bila OCD kujua kaka .

Kuna muda hat OCD akijua hana la kufanya zaidi atabaki kumtolea macho ya umakini OCS kwa kuwaza kama sio mnaa basi ni kofia mbili ndani ya uniform ni hapo masikini ya Mungu utashangaa kila safari ya OCD na OCS fulani yupo ,kila dili chafu waliyani lazima OCD atumie akili na huyo OCS awemo .

Wana wanaanza kusema hawa ni washikaji kumbe hata ila ni vile OCD analinda file lake kwa mkubwa wa kazi sababu anajua fika jicho la mkuu lipo naye all the time .
 
🤝🤝🤝
 
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:

Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na Uhamiaji.

Ukienda nchi jirani kama Kenya au kule Ulaya na Marekani, sheria za Uhamiaji ni msumeno—huwezi kukaa wiki mbili bila vibali vyako kueleweka. Lakini hapa kwetu Dar, Arusha, au Zanzibar, watu wanaishi tu kwa 'kona kona' na kujuana na wenyeji.

Yaani hapa unasaka sijui mualiko, nikifika ulaya ntaishi vipi gharama za nyumba kula nini,. Aisee bongo utawala sana. Chipsi 1500, chumba laki mpaka laki 4 safi kabisa. Unaingia kkoo pale unakula mkataba au sinza kodi.
Yaani tuseme yote Bongo ni a place to be. Hii ni world destination na kama vipi watu waje kwa wingi kuwekeza jamani.
Huo muda wa kuhangaika na wahamiaji haramu hatuna sisi tunahangaika na kufilisi nchi yenu tu.
Na mkileta kamdomo tunawapoteza.
 
Noma sana hivi wale machinga wa kinaijeria ushawahi bumiana nao? Wanapiga maneno kuimbisha bei lazima ununue hahaha
Daah kwao unakuta watu watano wapo kwenye duka moja na wanalipia kodi wanashangaa huku kwetu mtu akikaa popote anauza na wateja ukiwasomesha tu wananunua maana wana watu China wanawatumia mizigo hasa nywere za wanawake wao wameshika soko hapo Kariakoo kwa kuuza jumla wanakua na store tu.
 
Mpaka wana maduka na vibali hawana wanashangaa Watanzania wanaondoka hapo wao wanaona hela ipo nyingi sana hapo na deal zao za ujanja ujanja zinaenda vizuri..
Kuna mnigeria mmoja pale K/koo yeye anauza cover za simu tu, aisee mzigo unatembea sana.

Halafu hana zile bei za wabongo wenzetu.
 
Rushwa na uzembe.
Mipaka yetu imekuwa inaangilika wageni hovyo..!!
 
mishangazi mnaipatapataje?
1772881685325.png
 
Back
Top Bottom