Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

nchi gani maisha ni rahisi? Kwahiyo chadema ndiyo watafanya maisha yetu yawe rahisi, maaavi ya punda!! Hata Libya na Iraq walidhani hivyo!!
Unadhani kwanini nchi za jirani walipoingia opposition parties madarakani hawana hamu tena na vyama vya vilivyotangulia kutawala, chama chochote makini(hapa nalenga TZ) vinajua fika kuwa CCM inachukiwa kwa sababu(japo nao wanajua ila wanakomaza shingo tu wakiamini kuwadhibiti wanachi kwa mabavu bila ridhaa yao ni jambo lisilosumbua) na hivyo vyama kamwe haviwezi kutawala kwa upumbavu wa kidikteta ili kuepuka kuchukiwa na raia. Si kila chama kitataka kiwe kinaongoza kwa kutumia vyombo vya dola to intimidate citizens.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Uelekeo wa kisiasa ni upi, ungeanisha hayo wanayosema kua ni ya kisiasa. Cz si ajabu wanazungumza kuhusu utendaji wa haki kwa wote na usawa na ufisadi, ambayo haya kwa upande wenu mnatafsir ni lugha chafu, matusi, uchochez, maneno ya kuudhi etc!!
 
Kuna wahuni wamejichimbia ndani ya TLS. Kama TLS haikerwi na uharibifu wa mali za watanzania 65m ina faida gani kuwepo nchini. Ifutwe au katiba yao ibadilishwe kuongeza vifungu vya nani awe kiongozi wa TLS na nani asiwe.

TLS msingi wake ni kutetea uvunjifu w KISHERIA lkn sasa kipo na wahuni wavunja SHERIA

ukichoma
mwendo kasi vituo vya Mafuta Mabasi ya raia wema👈

TLS inasimama naww
Mchomaji mvunja Sheria ‼️😂

yule Mwamba havuti
msuba kweli?🤠
 
nchi gani maisha ni rahisi? Kwahiyo chadema ndiyo watafanya maisha yetu yawe rahisi, maaavi ya punda!! Hata Libya na Iraq walidhani hivyo!!
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hao
Hajasimama upande wa Watanzania kwani hata sampling tu ya Watanzania walivomshambulia kwa upumbavu ule alioropoka ilidhihirisha kuwa kauli zake za ki-terrorist Watanzania wamezikataa na kuzipinga tofauti na za viongozi wa TLS ambazo zaidi ya kukinzana na chawa wa mafisadi huwa zina support kubwa ya Watanzania wasio affiliated na mambo ya vya siasa.
Hao waliomshambulia ni walewale tu walioishambulia miundombinu yetu, ni walewale tu waliompora Mbowe chama. Ni walewale waliokuwa wanakataa Samia kuwa Rais baada ya kifo cha JPM na ni walewale waliokataa asiteuliwe na chama kuwa mgombea Urais.
 
Vyama vya upinzani vikianguka havirudi tena kwakuwa vyama vya upinzani vikiingia ikulu huwa vinafanya yaleyale waliyokuwa wakifanyiwa na vyama tawala.

Kuiangusha CCM sio kazi rahisi hivyo, labda uiangushe kwa kupitia kura lakini sio kwa nguvu za kuchoma moto. Kumbuka kuwa majeshi yote ya EAC na SADC ni mpaka uyapige na kuyashinda ndiyo ufanikiwe kuiangusha CCM madarakani. Kojoeni mlale mtakula kesho.
 
Kwani Frelimo na ANC nk walipokuwa wanapigania demokrasia walikuwa wanalipua mali za chama cha Makaburu cha National party peke yake? Hapo bwana linakuwa suala la ukimwaga mboga namwaga ugali. CCM wasipotaka haya yote wakubali usawa wa uwanja wa kuchezea na wapinzani. Hali iliyopo inaweza kuharibika hata zaidi
Huna maarifa. Wareno walitawala Msumbiji miaka zaidi ya 500, kila kitu kilikuwa ni cha mreno. Unalinganisha serikali ya CCM na serikali ya wareno?

Yaani unavunja mwendokasi kwakuwa ni mali ya CCM? Nonsense11
 
Kuna wahuni wamejichimbia ndani ya TLS. Kama TLS haikerwi na uharibifu wa mali za watanzania 65m ina faida gani kuwepo nchini. Ifutwe au katiba yao ibadilishwe kuongeza vifungu vya nani awe kiongozi wa TLS na nani asiwe.
Mkuki kwa Nguruwe binadamu mchungu ni Kama chadema wanavyolalamikia INEC
 
Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?
Daah kwa hiyo kwako mali na miundombinu ni bora kulikoni uhai, utu na haki za binadamu?
Kwanini mliwaua hao waaribifu wa mali za umma na bunafsi badala ya kuwachukulia hatua za kisheria?
Nani alitoa amri ya kufuatua risasi na kuua?
Miili yao iko wapi? Je, mliua wangapi waliohusika na wangapi ambao hawakuhusika?

Alafu kwanini mnateka, kuteswa na kuua hao mnaowashuku huku mkiwaacha wanaopora na kufisadi rasilimali za Tanganyika?
Hivi mnafikiri kuwa jamii haikuona maovu ya wakoloni mpaka jamii ikadai uhuru? Mnafikiri jamii haioni maovu yenu?
Nadhani TLS wapo sahihi kabisa... Wamechagua kuwa upande wa kudai haki!
Screenshot_20260508-005419.png
Screenshot_20260508-005359.png

Hakuna... Maelezo, utetezi au maelekezo yoyote mtakayotoa yakafidia damu za hao marehemu na maumivu ya ndugu/jamaa/marafiki zao!

TLS mnaweza kuwafuta... LAKINI Pale pale mlipowaua ndugu zetu... Ndipo hapo hapo na ninyi damu zenu zitamwagwa! Tena kwa namna mbaya zaidi!
 
Uko vizuri
Mkuu, hoja yako ni nzito na inagusa masuala ya msingi kuhusu mustakabali wa nchi yetu na wajibu wa taasisi kama TLS. Hata hivyo, ili kuweka mizani sawa ya kisheria na ukweli wa mazingira uliopo, naomba nikujibu kwa hoja zifuatazo:

1. Kuhusu Kujichukulia Sheria Mkononi, Hasira, na Kinga ya Kosa
  • Hakuna sheria inayoruhusu kujichukulia sheria mkononi: Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Tanzania (Penal Code, Sura ya 16) haitambui hasira au madai ya haki kama sababu ya kuhalalisha uharibifu wa mali, fujo, au fujo za kiraia.
  • Hasira si kinga ya kisheria (Defense): Kisheria, hasira (provocation) inaweza tu kutumika mahakamani kupunguza ukali wa adhabu au kubadili mashtaka (kama kutoka mauaji ya kukusudia kwenda mauaji ya bila kukusudia), lakini haiondoi kosa la jinai.
  • Kudai haki hakuhalalishi uhalifu: Mfano ulioutoa wa mtoto kumlawiti baba yake ili kudai haki ni kosa kubwa la kijinai la ulawiti. Kisheria, nia njema au madai ya haki hayawezi kusafisha au kuhalalisha kitendo ambacho chenyewe ni haramu (Illegal means cannot justify a legal end).

2. Kwanini TLS Haihangaiki na Walioharibu Mali? Je, ni Chama cha Siasa?
  • Wajibu wa Ulinzi ni wa Dola, si wa TLS: TLS haina mamlaka, silaha, wala askari wa kuzuia uhalifu mitaani. Kazi ya kukamata, kuchunguza, na kuwashtaki watu walioharibu mali za umma au za binafsi ni jukumu la kisheria la Jeshi la Polisi na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (DPP).
  • Kwanini TLS isilaumiwe kwa uharibifu huo: Serikali na vyombo vya usalama vilikuwa na taarifa mapema kuhusu maandamano ya tarehe 29. Kazi yao ya kisheria ilikuwa ni kulinda raia na mali zao, jukumu ambalo walishindwa kulifanikisha. Badala yake, walichochea vurugu zaidi pale walipoanza kutumia nguvu kubwa kupita kiasi (unproportional force) dhidi ya waandamanaji wa amani.
  • Ujipenyezaji wa wahalifu kwenye maandamano: Waandamanaji walikuwa na nia ya msingi ya kuandamana kwa amani. Hata hivyo, katika mkusanyiko mkubwa wa watu, ni kawaida kwa wahalifu (opportunists) kujipenyeza na kufanya uharibifu. Viongozi wa TLS hawakuunga mkono uhalifu huo, lakini huwezi kuilaumu TLS kwa kufeli kwa mifumo ya ulinzi ya serikali yenyewe.
  • TLS si chama cha siasa: Tanganyika Law Society ni taasisi ya kitaaluma iliyoundwa kwa Sheria ya Bunge (TLS Act, Sura ya 307). Inajumuisha mawakili wote wa Tanzania Bara wenye itikadi tofauti za kisiasa. Hata hivyo, viongozi wake binafsi wanapokuwa na mielekeo ya wazi ya kisiasa, inaweza kuleta picha ya taasisi hiyo kuegemea upande fulani, jambo linalohitaji marekebisho ya kiutaratibu ili kulinda weledi lakini si kuifuta taasisi.

3. Je, Kudai Katiba Mpya Kunahalalisha Uharibifu wa Mali?
  • Uharibifu hauhalalishwi: Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni haki za kisiasa na kiraia zilizolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kifungu cha 18 na 20 kuhusu haki ya kutoa maoni na kukusanyika). Hata hivyo, haki hizi lazima zitekelezwe kwa amani.
  • Msimamo wa TLS na Uhitaji wa Kauli Yenye Mizani: TLS inasimamia utawala wa sheria na mabadiliko ya kisheria. Hata hivyo, ili kulinda hadhi yake na kuzuia hisia za upendeleo, taasisi hii inapaswa kutoa matamko yenye mizani (balanced statements)—kwa kulaani matumizi ya nguvu kubwa ya polisi na wakati huo huo kulaani vikali uharibifu wa miundombinu unaofanywa na wahalifu wanaojipenyeza.

4. Kwanini Tanganyika Law Society Kisifutwe?
  • Umuhimu wa Kisheria: TLS haiwezi kufutwa kirahisi kwa sababu ni chombo cha kisheria (statutory body). Kufutwa kwake kunahitaji Bunge la Tanzania kufanya marekebisho au kufuta kabisa Sheria ya TLS (TLS Act).
  • Njia Mbadala za Kurekebisha Uelekeo: Badala ya kufutwa kwa taasisi nzima, njia sahihi za kisheria na kidemokrasia ni wanachama (mawakili) kupiga kura kuwaondoa viongozi wanaoonekana kuingiza ushabiki wa kisiasa, au Bunge kuweka masharti magumu yanayozuia viongozi wenye nafasi za wazi za kisiasa kuongoza TLS ili kulinda uhuru wa taasisi.

HITIMISHO: NJIA YA UPONYAJI WA KIDONDA CHA OKTOBA 29 NA MASHARTI YA MARIDHIANO
Mkuu, uponyaji wa kweli wa kidonda hiki cha kitaifa hautapatikana kwa maneno matupu au kwa kuilaumu TLS pekee, bali kwa vitendo thabiti vya uwajibikaji na haki kutoka kwa serikali. Ili kujenga msingi madhubuti wa amani na kuwasihi wananchi na serikali kukaa meza moja ya mazungumzo, lazima kwanza hatua zifuatazo zichukuliwe:
  • Kuwataja na kuwashitaki wahusika wote: Watu wote waliohusika na mauaji ya raia pamoja na uharibifu wa mali za umma na za binafsi zilizotokea Oktoba 29 lazima watambuliwe, watajwe hadharani, na wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria.
  • Kuwajibishwa kwa viongozi wakuu wa ulinzi: Waziri wa Mambo ya Ndani na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) lazima wawajibishwe mara moja kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kikatiba ya kulinda raia na mali zao, na kwa kuruhusu matumizi ya nguvu kubwa yaliyochochea maafa.
  • Uchunguzi wa kina kwa vyombo vyote vya usalama: Wakuu wote wa vyombo vya usalama waliosimamia operesheni hiyo—wakiwemo wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama itagundulika walihusika—lazima wachunguzwe kwa kina na wale watakaobainika kukiuka sheria wafunguliwe mashtaka ya kijinai.
  • Ufariji na fidia kwa wahanga: Serikali lazima itenge fungu maalum la bajeti kwa ajili ya kulipa fidia stahiki kwa familia za waliouawa na kwa wale wote walioumia au kupoteza mali zao katika machafuko hayo.
  • Kukabidhi miili iliyozikwa holela: Miili yote ya waliopoteza maisha ambayo ilizikwa kwa siri au holela na vyombo vya serikali lazima ifukuliwe na kukabidhiwa rasmi kwa familia zao ili izikwe kwa heshima na utu.
  • Serikali ikiri makosa yake kisheria: Serikali lazima ikubali wazi kuwa ilifanya makosa makubwa kuzuia maandamano, na ikiri kwamba haki ya kuandamana na kukusanyika kwa amani ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi ambayo haipaswi kukandamizwa.
  • Kuanza kwa mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru: Kama sharti kuu la maridhiano ya kisiasa na kijamii, serikali lazima ikubali kuanzisha rasmi mchakato wa kupatana kwa Katiba Mpya pamoja na kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha haki, amani, na utengamano wa kudumu wa nchi yetu.
Hapo ndipo kidonda hiki kitapata uponyaji wa dhati. Mazungumzo kati ya serikali na wananchi hayawezi kufanyika juu ya misingi ya dhuluma na ukandamizaji; yanaweza tu kufanikiwa ikiwa sheria itachukua mkondo wake na haki kuonekana ikitendeka kwa usawa. Mabadiliko ya kweli yanatakiwa kuanza sasa ili kulinda amani ya nchi yetu.
Hongera. Uko vizuri, umejitahidi kutoa elimu. Sasa kwa kutumia uelewa wako na bila ushabiki wowote je, yale maandamano ya oct 29 yalifikia viwango vya kuitwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria zetu kuhusu kufanya maandamano?

Je, unadhani yale maandamano yalikuwa ni ya watanzania waliokerwa na jambo .wenyewe au ni watu waliohamasishwa tu kuandamana?

Unadhani ni kwanini maandamano yalikuwa yatokee mikoa mingi kwa wakati mmoja?

Tanzania inayo katiba ya mwaka 1977, je unadhani ni jambo la lazima kuandika katiba mpya? Je, unaweza kufanya nini kama serikali haitaki kuandika katiba mpya, unaweza kwenda mahakamani kwenda kudai iandikwe Katiba mpya?

Inapotokea mgongano wa maslahi kati ya watanzania 65m na mtu au kikundi cha watu TLS inasimama upande gani?
 
Yaani unawatetea majambazi ili vyama vinavyosimamia haki na ukweli visiwepo sio kwa mambo mnayoyatetea mtakuja kuvuna aisee..
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?

Kwa hakika, kila mwenye akili timamu, atakuwa anajiuliza kama wewe mleta mada huna ndugu ambao wanaweza kukupeleka hospitali baada ya kujua kuwa hupo kwenye utimamu wa akili.

Ungekuwa na akili japo kidogo ungejua kuwa siku zote kukitokea shida, unaanza kwanza kuweka nguvu kwenye tatizo kubwa zaidi kabla ya kwenda kwenye matatizo madogo.

Ndiyo maana hata mgonjwa akiletwa hospitali akiwa kwenye hali mbaya, unaanza kwanza kuangalia vitu ambavyo ni hatarishi zaidi kwa uhai, kisha unashuka chini.

Utakuwa mwendawazimu wa hali ya juu, kuanza kuzungumzia maduka mawili yaliyochomwa moyo na watu 2, ukaacha kuongelea kwanza maelfu ya watanzania waliouawa na mashetani ambayo yanaona uhai wa mtanganyika hauna thamani.

Bila shaka haya niliyoyaandika yapo juu ya uwezo wako wa akili. Wewe shughulikia kwanza tatizo lako la akili.
 
Hao

Hao waliomshambulia ni walewale tu walioishambulia miundombinu yetu, ni walewale tu waliompora Mbowe chama. Ni walewale waliokuwa wanakataa Samia kuwa Rais baada ya kifo cha JPM na ni walewale waliokataa asiteuliwe na chama kuwa mgombea Urais.
Mbowe kashindwa kwenye uchaguzi uliokuwa fair and transparent zaidi ya uchaguzi wowote katika siasa za TZ tangu nchi ipate uhuru.
Hakuna uhalifu mbaya kama kutoa uhai wa mtu sasa imagine nchi inaongozwa na m'bibi ambaye ni serial killer, anaua na kupoteza maiti huku familia zikizika mashati na yeboyebo, Samia ni laana kwa taifa.
Samia na timu ya mafisadi Kikwete, Rostam na wenzao ndiyo walimuua kwa sumu Jiwe kwani alikuwa anaziba mirija yao ya kuhujumu nchi. Jiwe alikuwa pia ni muuaji na katili aliyekandamza haki za raia, aliminya uhuru wa maoni na aliteka na kuua sasa katika ushenzi wote huo shetani Samia amekwenda extra miles mpaka tenfold mpaka kaanzisha mass graves(makaburi ya halaiki) na massacre vitu ambavyo pamoja na ukatili wa Jiwe(Magu) hakuwahi kuvifanya mpaka kuichafua nchi internationally sasa wanahaha baada ya 'mabeberu' kuanza kubinya misaada.
Hilo libibi ni nuksi, mikosi na laana kwa taifa.
 
Yaani unawatetea majambazi ili vyama vinavyosimamia haki na ukweli visiwepo sio kwa mambo mnayoyatetea mtakuja kuvuna aisee..
Kila unapodai haki yako kumbuka na haki ya mwingine. Haki ya wengi haishindanishwi na haki ya wachache ikashindwa. Yaani mgahawa wako unaweza kufungiwa kama itagundulika ni chanzo cha ugonjwa wa kipindupondu au typhoid. Huwezi wewe ukadai haki yako ya kupata Katiba mpya kwa kuvunja madaraja yanayotumiwa na watu wengi.

TLS ya Mwabukusi inawafundisha vijana kuwa kama ukikasirika au haki yako ikicheleweshwa vunja vituo vya afya, shule, barabara, nk. Mafundisho kama haya hayawezi kutolewa na kiongozi muhimu ya kisheria. Ni uhuni na ulemavu wa kufikiri.
 
Screenshot_20260629_222429.jpg
Screenshot_20260629_222441.jpg

Haya👆🏾ndiyo madaraja yaliyovunjwa na ambayo yanatumiwa na wengi? Wengine zaidi ya private properties za mafisadi na vibanda vya uchafuzi hatukupata habari za kuvunjwa kwa madaraja. Tulihabarishwa kuwa walikuwa na info za kwamba ni mali/biashara zipi ni either zinamilikwa na mafisadi, au mafisadi wanafichia pesa wanazohujumu nchi au zinaendeshwa kwa nguvu ya ufisadi na kwamba hawakushambuli aimlessly meaning all targets were legitimate targets(according to them).
Hebu yujuze hayo madaraja yaliyoharibiwa ili tuwaulize kulikoni.
 
Daah kwa hiyo kwako mali na miundombinu ni bora kulikoni uhai, utu na haki za binadamu?
Kwanini mliwaua hao waaribifu wa mali za umma na bunafsi badala ya kuwachukulia hatua za kisheria?
Nani alitoa amri ya kufuatua risasi na kuua?
Miili yao iko wapi? Je, mliua wangapi waliohusika na wangapi ambao hawakuhusika?

Alafu kwanini mnateka, kuteswa na kuua hao mnaowashuku huku mkiwaacha wanaopora na kufisadi rasilimali za Tanganyika?
Hivi mnafikiri kuwa jamii haikuona maovu ya wakoloni mpaka jamii ikadai uhuru? Mnafikiri jamii haioni maovu yenu?
Nadhani TLS wapo sahihi kabisa... Wamechagua kuwa upande wa kudai haki!
View attachment 3618697View attachment 3618698
Hakuna... Maelezo, utetezi au maelekezo yoyote mtakayotoa yakafidia damu za hao marehemu na maumivu ya ndugu/jamaa/marafiki zao!

TLS mnaweza kuwafuta... LAKINI Pale pale mlipowaua ndugu zetu... Ndipo hapo hapo na ninyi damu zenu zitamwagwa! Tena kwa namna mbaya zaidi!
Sio vile tu, lakini hata leo hii kama utaenda kuvunja bank utauliwa hapohapo kwa risasi. Kama utachoma kituo cha polisi utauliwa hapohapo. Hivi akili ndogo kama hii vijana hawanayo?

Serikali inao wajibu wa kulinda usalama wa watu na mali zao kwa gharama yoyote. Haki ya wwngi inapewa kipaumbele zaidi. Yaani haki yako na ile ya kundi lako ni muhimu lakini haki ya wengi ni muhimu zaidi. Usicheze na dola.
 
View attachment 3618761View attachment 3618762
Haya👆🏾ndiyo madaraja yaliyovunjwa yanayotumiwa na wengi, wengine zaidi ya private properties za mafisadi na vibanda vya uchaguzi hatukupata habari za kuvunjwa kwa madaraja. Tulihabarishwa kuwa walikuwa na info ni mali/biashara zipi ni either zinamilikwa na mafisadi, au mafisadi wanafichia pesa wanazohujumu nchi au zinaendeshwa kwa nguvu ya ufisadi na kwamba hawakushambuli aimlessly meaning all targets were legitimate targets(according to them).
Hebu yujuze hayo madaraja yaliyoharibiwa ili tuwaulize kulikoni.
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo?
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Ng’ombe wa mama, muambie mfugaji wako, kama anaweza, afute kabisa vyama vya siasa ili yeye na nyie ng’ombe wake mle nchi bila kusumbuliwa na mtu!
 
Unajuaje kanma hii ni Tanzania? Thibitisha. Je, Na Watoto wa Heche, Lema, Lissu, Mwabukusi na Nshala wamo humu pia? Kama hawapo kwanini hawapo?
Huku ughaibuni percentage kubwa ya waTZ ni watoto wa viongozi wa CCM na wa serikali.
JF wengi wetu ni vivuli tu hatujulikani hivyo basi it's impossible even to guess or to form a theory ya kujua nani ni nani.
Swali la kichoko sana kuleta ukenge eti probably hizo picha si TZ, basi pia watu huwa hawatekwi na wala Ali Kibao hakushushwa kwenye basi(abiria na wahusika wa basi walidanganya) na pia Mdude hakutekwa(mkewe na majirani pamoja na viongozi wa mtaa walidanganya) and the list goes on and on and on......
 
View attachment 3618761View attachment 3618762
Haya👆🏾ndiyo madaraja yaliyovunjwa na ambayo yanatumiwa na wengi? Wengine zaidi ya private properties za mafisadi na vibanda vya uchafuzi hatukupata habari za kuvunjwa kwa madaraja. Tulihabarishwa kuwa walikuwa na info za kwamba ni mali/biashara zipi ni either zinamilikwa na mafisadi, au mafisadi wanafichia pesa wanazohujumu nchi au zinaendeshwa kwa nguvu ya ufisadi na kwamba hawakushambuli aimlessly meaning all targets were legitimate targets(according to them).
Hebu yujuze hayo madaraja yaliyoharibiwa ili tuwaulize kulikoni.
Thibitisha kuwa hizi picha ni tukio la oct29 na sio kutoka Goma. Bila kujali zimetoka nchi gani lakini ni fundisho kuwa amani haina mbadala, na akili za kuambiwa changanya na zako. Waliopanga wako hai wakati waliopangiwa wamekufa.
 
Back
Top Bottom