Kwanini Tanganyika Law Society isifutwe?

Tatizo hujui mambo mengi ya msingi.

Ndiyo maana hata hapa unafanya logical non sequitur fallacy na false dichotomy fallacy.
Ni kweli mimi siijui TLS, tuambie wewe kifungu walichotumia viongozi wa TLS kuiunga mkono chadema na madai yao na uchomaji wa mali za umma na watu binafsi.

Tuambie TLS ni nini na kazi zake.
 
Weka hapa wapi TLS wameunga mkono "uchomaji wa mali za umma na watu binafsi".

Ili tujue kuwa angalau una akili za kujua kusoma kwa ufahamu na kufuatilia mambo.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Aisee kichwani mwako utakuwa umejaza kamasi nyingi sanaT
Actually ni vizuri kuijua Katiba yao kwanza maana mimi sio mmoja wao.

Ni vema kujua TLS ana wajibu gani kwenye matukio ya kitaifa kama yale ya ot29.

Pia ni vizuri kujua kama zipo sababu/mazingira za kisheria ambazo zinaruhusu mtu au kikundi kuweza kuharibu mali ya umma bila kuvunja sheria. Hii inaweza kutupatia mwanga kuona kwanini TLS haikulaani uharibifu ule wa mali za uma uliofanyika Oct29 na baada ya Oct29.

Na je, TLS ina wajibu gani linapotokea tukio kama lile, kukaa kimya, kulaani, kuunga mkono wananchi au kuunga mkono kundi, au nini?
Toa kamasi kichwani kima wewe. Hivi mpumbavu kama wewe unaweza uka-argue na Jaji Joseph Sinde Warioba? Unataka kushindana na ukuta? Ccm ipo madarakani kwa msaada wa vyombo vya dola....period!
 
Weka hapa wapi TLS wameunga mkono "uchomaji wa mali za umma na watu binafsi".

Ili tujue kuwa angalau una akili za kujua kusoma kwa ufahamu na kufuatilia mambo.

TLS Kuto kulaani tu uharibifu wa
Mali 👈

ni wazi wao wanaunga mkono yale matendo ya wahuni kuchoma Mali za Watanzania👈

Walitakiwa japo kusimama pande zote mbili✍️
 
Logical non sequitur fallacy.

But I know you don't know what that is.
 
Weka hapa wapi TLS wameunga mkono "uchomaji wa mali za umma na watu binafsi".

Ili tujue kuwa angalau una akili za kujua kusoma kwa ufahamu na kufuatilia mambo.
Sikiliza kwanini TLS iliunga mkono uchomaaji wa mali za umma. Kwa mujibu wa TLS waliochoma mali za uma walikuwa na hasira na walikuwa wanadai haki zao, hivyo ilikuwa halali kuchoma mali zetu. Kauli yao inafanana na ile ya chadema.

View: https://youtu.be/HKQpf-dVyfo?si=ykdh4-8eAa8d5jSH
 
Kavulata Ongera sana nimesoma Utetezi wako jamaa unatisha
vibaya ✅️

Umewadhidi kwa HOJA ndiomana wanakulenga wewe binafsi 🤠🤠🤠

🫎🫎🫎 wanatapatapa kama kuku kachinjwa na kuachiwa🤠🤠

🫎🫎Makamasi na matusi mengine ni kichaka cha watu
zaifu zaifu kama hawa 🫎🫎🫎👈
 
Sawa.

Fungua kesi uifute TLS basi.

Shida iko wapi?

Au unapiga hadithi tu hapa JF?
Kwa mujibu wa TLS watu wachache wenye hasira ambao hawakusikilizwa kwa muda mrefu walikuwa na haki ya kuchoma mali za watanzania 65m.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Naunga mkono hoja TLS Imepoteza Umaana wake wote,sasa limegeuka tawi la kiu anaharakati aidha uteuzi wa chairman wake,utenguliwe haraka sana.
#Tulitaraji chombo hiki kiwe centered/ affirmed!,na si jukwaa la uanaharakati.
 
Kavulata Ongera sana nimesoma Utetezi wako jamaa unatisha
vibaya ✅️

Umewadhidi kwa HOJA ndiomana wanakulenga wewe binafsi 🤠🤠🤠

🫎🫎🫎 wanatapatapa kama kuku kachinjwa na kuachiwa🤠🤠

🫎🫎Makamasi na matusi mengine ni kichaka cha watu
zaifu zaifu kama hawa 🫎🫎🫎👈
Kuna wahuni wamejichimbia ndani ya TLS. Kama TLS haikerwi na uharibifu wa mali za watanzania 65m ina faida gani kuwepo nchini. Ifutwe au katiba yao ibadilishwe kuongeza vifungu vya nani awe kiongozi wa TLS na nani asiwe.
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Tuanze kufuta taasisi aliyopo Shehe Mwaipopo kwanza kwani naye amedhirisha kuchukua muelekeo wa kisiasa, hiyo dini anayoiwakilisha ifutwe kabisa then pia ifutwe hiyo uliyoisemq kuwa ifutwe. Yeye huyo Mwaipopo mpaka alienda extra miles kwamba wao(obviously alimaanisha imani yake) wanakikosi cha mbwa mwitu(terror squad) na very soon wataanza kuwatairi raia bila ya ganzi(this translates kwamba mtu atajikuta anatairiwa kwa mara ya pili tena bila ya ganzi).
 
Nimefurahi kukuta taarifa hii, kumbe kuna wenye akili ndani ya TLS, nitaunga nguvu huko.

View: https://youtu.be/nsamwOl1Wb8?si=ejNrWThwFWGMi7Py

Wewe ni kama fisi anayemfuatilia mtu anayetembea, akiuangalia mkono wa mtu unavyotingishika, akifikiri na kuombea mkono huo uanguke aule.

Hujui TLS ni nini, hujui inafanya kazi vipi, si mwanachama wa TLS.

Unadandia treni kqa mbele kwenye safari usiyoijua.

Nsiyo maana unaishia kupiga kelele JF.

Nimikwambia fungua kesi uifute TLS hujui hata pa kuanzia.
 
Naunga mkono hoja TLS Imepoteza Umaana wake wote,sasa limegeuka tawi la kiu anaharakati aidha uteuzi wa chairman wake,utenguliwe haraka sana.
#Tulitaraji chombo hiki kiwe centered/ affirmed!,na si jukwaa la uanaharakati.
Kwa mujibu wa TLS ya mwabukusi kuwa na hasira na kutosikilizwa madai yako kunahalalisha kuchoma nchi nzima ikibidi hadi hapo maslahi yako yatakaposikilizwa. Mwanasheria kama huyu kwanini asivuliwe uwakili?
 
Ni jambo la hatari kwa taasisi ya umma kama vile Yanga, Simba, Tanganyika Law Society (TLS) au TFF kuchukua mwelekeo kamili wa kisiasa. Madhara yake ni makubwa sana. Na Unaweza kutambua uelekeo wa taasisi kwa kuangalia na kuwasikiliza viongozi wakuu wa taasisi husika.

TLS iliwahi kuongozwa na Mh. Tundu A. Lissu na sasa inaongozwa na Mh. Mwabukusi. Viongozi hawa kama ukiwasiliza na kuangalia utendaji wao wakiwa viongozi wakuu wa TLS utagundua kuwa wanaongea na kutumia lugha na tone ileile ya baadhi ya vyama vya siasa, kuonyesha kuwa TLS inaelekea kuwa chama cha siasa au inasaidia vyama vya siasa au imetekwa na vyama vya siasa au inatumiwa vibaya na vyama vyaa siasa.

Pia soma Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi

Matukio ya October 29 yalinishitua sana kuona msimamo wa TLS imekataa kulaani uharibifu wa mali za watanzania kama vile barabara, vituo vya polisi, TRA, mahakama, hospitali, sheli, magari, maduka, ofisi za serikali, nk. Mali ambazo chimbuko lake ni kodi za watanzania wote, misaada, mikopo na juhudi za watu binafsi. TLS ilisimama moja kwa moja upande ule wa watu wachache walioharibu mali za watu wengi sawasawa na upande uleule waliosimama chama cha siasa cha chadema.

Kama TLS haiwezi kutetea uharibifu wa mali (barabara, reli, ofisi za umma, polisi) za watanzania wote (65m) zinazotumiwa na watanzania wote 65m wenye vyama na wasiokuwa na vyama, watoto, wazee, wajane, walemavu, wanaume na wanawake dhidi ya kikundi cha watu wachache wenye hasira na wanaodai haki yao ina faida gani kuwepo ndani ya jamii yetu?

Je, kuna sheria inayomruhusu mtu kama akiwa amekasirika au kudai haki yake kujichukulia sheria mkononi? Je, hasira ni kinga wakati wa kutenda kosa? Je, kudai haki yako ni kinga wakati wa kutenda kosa? Yaani kama mtoto akidai haki yake kwa baba yake anaweza kumlawiti baba yake ili ampe haki yake bila kuwa na hatia?

Kwanini TLS haihangaiki na wale walioharibu mali za umma na watu binafsi kwa kisingizio cha hasira na kudai haki? Je, TLS ni chama cha siasa?

Je, kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kunahalalisha wanaodai kuchoma mali za watanzania wote? Kwanini TLS haisemi kitu kama vile nao ni sehemu ya madai?

Kwanini Tanganyika Law Society kisifutwe kama kimepoteza uelekeo wake?
Utafuta vingapi au hujasoma katiba inasema kuhusu uhuru wa kutoa maoni, unapotoa hoja linganisha hiyo hoja yako kwa kutazama na nchi nyingine au na vyama vya sheria vya nchi nyingine kama Kenya au vile kutoka nchi za jumuia ya madola, tu wepesi sana kukalipia ila kukalipiwa hatutaki.
 
Sasa wewe mkuu ndugu yangu
Unataka kulinganisha uhai wa mtu na vitu vilivyoharibiwa vyenye thamani billion 125 (kwa mujibu wa Tume).
Unasahau kwamba hata mtu Moja tu Angeweza kumiliki kampuni inayoweza kulipa kodi serilikalini zaidi ya hiyo hera, ndiyo maana serikali haitaki yajirudie japokuwa wanajimwambafai ila ukweli wanaujua.
 
Tuanze kufuta taasisi aliyopo Shehe Mwaipopo kwanza kwani naye amedhirisha kuchukua muelekeo wa kisiasa, hiyo dini anayoiwakilisha ifutwe kabisa then pia ifutwe hiyo uliyoisemq kuwa ifutwe. Yeye huyo Mwaipopo mpaka alienda extra miles kwamba wao(obviously alimaanisha imani yake) wanakikosi cha mbwa mwitu(terror squad) na very soon wataanza kuwatairi raia bila ya ganzi(this translates kwamba mtu atajikuta anatairiwa kwa mara ya pili tena bila ya ganzi).
Sheikh mwaipopo namuelewa kwasababu ameamua kusimama upande wa watanzania 65m wakiwemo watoto na walemavu ambao wanatumia barabara hizo zilizochomwa kwenda hospitali na vituo hivyo vya polisi vilivyochomwa wanavyotumia kutoa taarifa wanapolawitiwa au kutendewa mabaya. TLS wanasema ilikuwa sawa kuchomwa moto na wachache wenye malalamiko yao.
 
Back
Top Bottom