GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
Kwanza sioni mantiki ya kumtuma eti VP au PM akapeleke ujumbe wa Rais,au Rais wa Zanzibar hiyo itakuwa ni dharau.Wiki hii nzima alikuwa anazurula tu hapa Kampala Uganda na baadae akaenda Gulu na muda si mchache kaonekana huko nchini Ethiopia na kote anapeleka tu Ujumbe Maalum wa Rais Samia.
Wapumbavu hamtaisha Tanzania.Kwanza sioni mantiki ya kumtuma eti VP au PM akapeleke ujumbe wa Rais,au Rais wa Zanzibar hiyo itakuwa ni dharau.
Tofautisha Kumuwakilisha Rais na kumtuma Kwa shughuli ndogo ndogo kama hiyo ya Kampeni ya Janabi.
Mwisho juzi tuu hapo VP alikuwa Angola Kumuwakilisha Rais kwenye Mazishi.
Wiki Moja kabla alikuwa Zimbabwe ,Sasa wewe unaongea nini hasa?
Popoma ni popoma tuu.Tuishe Ili kitokee nini?Wapumbavu hamtaisha Tanzania.
Ndo mtaji wa CCMWapumbavu hamtaisha Tanzania.