Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Wewe huna ndugu zaidi ya mumeo na ndugu zake hao kwako hata wakikupapasa uwezi simamisha ILA wake wanaweza kukuliwaza, unaambiwa unaweza chezea titi la mama Mkwe ILA sio uboo wa mama Mkwe! Ndugu WA mume ndo ndugu ILA wako ulipoamua kuolewa uliachana nao pole Tulia mlee mume n ndugu zake wako uliisha wakana ulipoamua kuolewa ndio maana uchagani mpaka kitanda chako kinavunjwa kama umefariki
 
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri,na tuna usafiri wetu ,kwa kifupi maisha yetu si haba .cha kushangaza kuhusu mume wangu hapendi,kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo,either kwa kukaa au kusalimia,sijawahi hata muelewa ni kwa nini ,kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu ! Au nakosea wapi mimi wenzagu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy
Mlijadili haya mambo kabla ya ndoa?
 
Wewe huna ndugu zaidi ya mumeo na ndugu zake hao kwako hata wakikupapasa uwezi simamisha ILA wake wanaweza kukuliwaza, unaambiwa unaweza chezea titi la mama Mkwe ILA sio uboo wa mama Mkwe! Ndugu WA mume ndo ndugu ILA wako ulipoamua kuolewa uliachana nao pole Tulia mlee mume n ndugu zake wako uliisha wakana ulipoamua kuolewa ndio maana uchagani mpaka kitanda chako kinavunjwa kama umefariki
Ops
 
Muulize atakupa sababu
Kama hana basi yeye anashida
Labda kuna vingine hapendi kwa ndugu zako
Ila chuki ni mbaya
 
Tunapoenda kulala mtoa mada ningependa kukuuliza maswali kadhaa ya kiintelijemnsia
1.Huyo mume wake na Suzy ni mrefu au mfupi?
2.Ni mweupe au mweusi?
3.Huwa anapenda kukusaidia kupika?
4.Mmefuga mifugo hapo nyumbani?
5.Hupenda kwenda sokoni mwenyewe?
6.Hujiangalia kwenye kioo?
7.Hupenda kuchomekea?
8.Hapendi kushiriki kwenye shughuli za kijamii mfano sherehe na misiba?
9.Hapendi kuambatana na mkewe?
10.Hapendi kununua chakula cha stock na badala yake huacha tumizi la kila siku?
 
Tunapoenda kulala mtoa mada ningependa kukuuliza maswali kadhaa ya kiintelijemnsia
1.Huyo mume wake na Suzy ni mrefu au mfupi?
2.Ni mweupe au mweusi?
3.Huwa anapenda kukusaidia kupika?
4.Mmefuga mifugo hapo nyumbani?
5.Hupenda kwenda sokoni mwenyewe?
6.Hujiangalia kwenye kioo?
7.Hupenda kuchomekea?
8.Hapendi kushiriki kwenye shughuli za kijamii mfano sherehe na misiba?
9.Hapendi kuambatana na mkewe?
10.Hapendi kununua chakula cha stock na badala yake huacha tumizi la kila
Una maswali mengi kwani ww ni polisi😃😃😃
 
Kaa na mumeo mwulize shida iko wapi.
Sisi hatuwezi Tia neno na hatujui familia yako
 
Akae naye chini amuulize... akituuliza sisi hatuwezi jua au tutampa experience nyingine na mawazo mengine
 
Back
Top Bottom