Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Huenda
1. huko nyuma uliqah mdanganya mtu fulani ni ndugu yako halafu akaja akajua anakumega

2. Kuna kitu aliwahi kukukataza ila kwenu walivyo kushauri ukakifanya, kumaanisha ukadharau katazo lake ukatii la wa kwenu (lazima awamaindi)

3. Huenda wakati hamjajipata (mkiwa hamjapata fedha) kwenu/ndugu zako walimuonesha dharau kwa vile hakuwa na kitu

4. Huenda uliwahi wewe mwenyewe au kupitia ndugu yako wa karibu iba fedha au chochote ukapeleka kwenu na baadae akaja kujua.

5. Huenda kuna siku katika mahusiano yenu mlikosana na ndugu zako waliingilia huo ugomvi eidha kwa simu au sms au uso kwa uso, na katika hilo walionesha kuegemea kwa mwanamke na kumuonesha mwanaume mkosefu na kwamba wanaweza kukuchukua na kukurudisha kwenu wakihitaji.

6. Uliwah tamka neno baya kwa ndugu zake wa mwanaume au aliwah said8a mtu nyumbani kwao hasa mama na ukahoji (epuka kuingilia mipango ya mwanume dhidi na kwao hasa wazazi wake). Tunajua wazazi wetu na ndugu zetu walivyotufichia viporo tukitoka shule tule tupozee na maji ya kumywa ya kisimani. Halafu ukubwani unakutana na mtu hana hata bikra anaanza kusema hili na lile linalohusu kwenu usifanye au usicanyie wazazi wako, hapo unayatimba kimia kimia
May be may be aanze kufukua makaburi ya nyuma kupata point hizo good start
 
Ndoa ni ya
Wewe na mumeo,hao ndungu zako watulie kwao.

Binafsi sipendi lifamilia lenye msongamano wa watu utadhani kituo cha kulelea watoto yatima,inafikia kipindi Raha ya kujimwaya mwaya inakosa.

Lakini pia Ndugu inafikia kipindi wananyonya kipato cha watoto wako kisa kuwakumbatia.

Dawa yako wewe ni kukuhamisha hapo ulipo akupeleke mbali na ndugu zako,nauli ya kukufikia ikiwa sh 100K akili zinakurudi.

Ndugu anapokuja kwako aje kwa sababu maalumu na muda wa kuondoka ujulikane,Mimi mgeni akiishi kwangu bila sababu maalumu namtafutia nauli arudi alikotoka

By the way nampongeza mumeo,una mwanamume mzuri sana
 
Wewe ndo mume suzy 😀
 
Ndiyo maana wanasema mnavyooana kilamtu awe na kazi,kila mtu awezeshe ndani….wageni wakija wanakula vya wote.Mtu yeyote anayetoa zaidi ndani lazima awe na roho ya ubinafsi,unyanyasaji,maringo,masimango na jeuri juu ya pesa yake.

Akikataa wewe utasema nini,utabishia nini🤓
 
Kwani lazima? Au ameo na ukoo wako?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom