Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri,na tuna usafiri wetu ,kwa kifupi maisha yetu si haba .cha kushangaza kuhusu mume wangu hapendi,kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo,either kwa kukaa au kusalimia,sijawahi hata muelewa ni kwa nini ,kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu ! Au nakosea wapi mimi wenzagu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy
Hiyo inaitwa xenophobia
 
Mumeo naye haishiwi maswaibu
Mara akubake
Mara achukie ndugu
Halahala asikulazimishe uandamane 7/7
 
Facial expressions speak everything enzi hizo nilipata kusoma issue za sokolojia najua nachosema namaanis

Loving my siblings doesn't need kishawishi but ndugu zake nawapenda
Ndugu zake unawapenda ila story haikuhusu wewe, inamhusu Suzy. bas sawa
 
Back
Top Bottom