Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

Kuna kishawishi cha kumshawishi mumeo awapende nduguzo.


Au na wewe ni gumzo mtaani ila hujielewii
 
Bado unakisia tu na huna uhakika. Wewe unafanya confirmation bias.
Facial expressions speak everything enzi hizo nilipata kusoma issue za sokolojia najua nachosema namaanis
Kuna kishawishi cha kumshawishi mumeo awapende nduguzo.


Au na wewe ni gumzo mtaani ila hujielewii
Loving my siblings doesn't need kishawishi but ndugu zake nawapenda
 
Ndiyo maana wanasema mnavyooana kilamtu awe na kazi,kila mtu awezeshe ndani….wageni wakija wanakula vya wote.Mtu yeyote anayetoa zaidi ndani lazima awe na roho ya ubinafsi,unyanyasaji,maringo,masimango na jeuri juu ya pesa yake.

Akikataa wewe utasema nini,utabishia nini🤓
Issue siyo pesa au vyakula
 
Kama ganda la limao hana time nao kama wakwao
Unajua tatizo ni kwamba huyo jamaa unaweza kumsoma kirahisi kwa kumwangalia usoni ndiyo maana umegundua kuwa hapendi ndugu zako.

Ukweli ni kwamba watu wengi (99%) katika ndoa hawapendi ndugu wa upande wa pili, ila wanajikaza tu, lakini deep down wanaungua kinoma.
 
Inawezekana uliwazungumzia vile walivyokuwa wanakutesa / au kukusumbua zamani. Wengine ukiwasimulia stori mbaya walivhokufanyia anazibeba km zilivyo na kisassi juu..
Inawezekana pia huyo mwanaume ni mchoyo tuu akinunua unga / mchele anahesabu mtakula mwezi a anaona utaisha mapema.
 
Back
Top Bottom