uKitambi kama mtu ako na mimba nop
Uliomba Miaka Mingi, X 3🎵🎵🎶Hilooo ni chaguo lakooo🎶🎵🎵🎵
ila wadada wa kazini wanasema kitambi changu kinapendezaOh kemea pepo hilo just oa mkuu
Kama hajakuelewa hapa basi adai taraka chao. Atakua hafai kua mkeHuenda
1. huko nyuma uliqah mdanganya mtu fulani ni ndugu yako halafu akaja akajua anakumega
2. Kuna kitu aliwahi kukukataza ila kwenu walivyo kushauri ukakifanya, kumaanisha ukadharau katazo lake ukatii la wa kwenu (lazima awamaindi)
3. Huenda wakati hamjajipata (mkiwa hamjapata fedha) kwenu/ndugu zako walimuonesha dharau kwa vile hakuwa na kitu
4. Huenda uliwahi wewe mwenyewe au kupitia ndugu yako wa karibu iba fedha au chochote ukapeleka kwenu na baadae akaja kujua.
5. Huenda kuna siku katika mahusiano yenu mlikosana na ndugu zako waliingilia huo ugomvi eidha kwa simu au sms au uso kwa uso, na katika hilo walionesha kuegemea kwa mwanamke na kumuonesha mwanaume mkosefu na kwamba wanaweza kukuchukua na kukurudisha kwenu wakihitaji.
6. Uliwah tamka neno baya kwa ndugu zake wa mwanaume au aliwah said8a mtu nyumbani kwao hasa mama na ukahoji (epuka kuingilia mipango ya mwanume dhidi na kwao hasa wazazi wake). Tunajua wazazi wetu na ndugu zetu walivyotufichia viporo tukitoka shule tule tupozee na maji ya kumywa ya kisimani. Halafu ukubwani unakutana na mtu hana hata bikra anaanza kusema hili na lile linalohusu kwenu usifanye au usicanyie wazazi wako, hapo unayatimba kimia kimia
HIYO 3 nadhan n ndyo hasaHuenda

Nisamehe bhna toa mafuta hayo tumboni😃😃Kwanini unanitangaza kwa watu mtandaoni
Kitambi si changu
Kwani huwa kinawasha?
😅😅😅Hahaha umejuaje alafu ni jitu la huko kanda ya ziwa
Inshu ni Moja tu utakuta ndugu zako ni watu wasio na elimu na pia hawana kipato Cha kuheshimika iyo ipo kwa wote hata Mimi dada yangu alipoolewa washe wangu alikuwa ananiona sio wamana ila after 10 years nikawa vizuri sana hata kwenda kwake yeye ndio akawa ananikaribisha sana inshu PESAHili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa kukaa au kusalimia, sijawahi hata muelewa ni kwanini.
Kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu! Au nakosea wapi mimi?, wenzangu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy
DuhJanaume fisadi na lina roho mbaya na lazima linakitambi na miguu myembamba sana
Njoo nipigishe tiziNisamehe bhna toa mafuta hayo tumboni😃😃