Kwanini Marekani ameshindwa kuimaliza Iran haraka?

Till now mitazamo ya watu imeshaanza kubadilika kama Nina kuoa hadhi ya kujilinda and still Nina shambuliwa wakati wewe mlinzi wangu upo so what do you expect!?? .

Wewe ulitegemea kuona kitu kama hicho !?

Nilitegemea kwa kiasi lakini sio kwa kiwango hiki.
Sasa akitaka amkomeshe Marekani atoe suprise ya karne. Sijui atatumia teknolojia gani ikitokea akashambulia Washington wengi watashangilia hata kama atapigwa.

Hata hivyo kwa kiwango alichofikia inatosha. Heshima ipo
 
Muda huwa ni mwalimu mzuri sana.

Nakumbuka mabazazi na madunya wa humu ndani mnamo tarehe 24 February 2022 siku ambayo Urusi alivamia Ukraine walinitafuta na kunisimanga sana. Wengine walidiriki hadi kukashifu taaluma yangu. Walishangaa kwamba kwanini Urusi ameshindwa kuivamia Ukraine na kuimaliza kwa haraka ilhali anajiita taifa kubwa (Super-Power). Niliwaambia vijana wa humu ndani kwamba Urusi alifanya makosa kuvamia jirani yake na kuna mambo alikosea, lakini kusema kwamba NATO+EU wataiangusha ni jambo lisilowezekana. Mataifa makubwa huwa yanafanya makosa pia (Political Blunders)

Mpaka 2026, Urusi na Ukraine wanapigana, huku Ukraine wakiwa wameumizwa zaidi. Urusi anatumia fedha nyingi sana kwenye vita na usalama, jambo ambalo siku vita ikiisha litazua matatizo makubwa mno kwasababu watu wengi watakosa ajira ambazo wanazifanya sasa. Pia kuna mambo kadha wa kadha. Sasa huu ni utangulizi tu:

Naomba niwaulize ninyi vijana wa humu ndani, kwanini Marekani (The Only Global Super-Power) ameshindwa kulimaliza taifa la Iran ndani ya wiki kama alivyofanya Afghanistani au Venezuela ??? Fahamuni tu kwamba hivi vita hapigani Marekani peke yake bali anasaidiwa na Israeli na washirika wengine kama Australia ambao imejulikana hivi karibuni kwamba walisaidia kuzamisha manowari za Iran. Hapo kuna Saudi Arabia, Jordan, Qatar, Bahrain, UAE, Azerbaijan na Mgambo wa kikurdi (kurdish Militia).

Donald J Trump alisema ni siku nne tu baada ya Ayatollah kulambishwa mchanga basi, Iran ingekuwa kaputi. Ila sasa yametokea tofauti. Marekani kweli kawatandika Iran, lakini nao wamemtandika vibaya mno. Mara ya mwisho kambi za kijeshi za Marekani zimelipuliwa hivi ilikuwa ni mwaka 1941 kule Pearl Harbour ambapo Japan aliua zaidi ya wanajeshi 2000. Jambo la kushangaza kulikuwa na silaha za ulinzi za kisasa kabisa kwenye hizo kambi kama THAAD na PATRIOT ambazo zilikuwa na mfumo bora kabisa wa rada duniani ambao umelipuliwa.

Mahoteli ambayo walikuwa wanakaa MAJASUSI na WANAJESHI wa Marekani yamelipuliwa. Mpaka sasa maswali ni mawili tu: Aidha Iran alikuwa amejipanga sana AU kuna mtu anamsaidia maana siyo jambo rahisi kufanya haya ambayo Iran amekuwa akifanya hasa kwenye kufanya mashambulio ya ulengaji bila kukosea (Precision Attack) ambayo hutegemea kwa sehemu kubwa mifumo ya satellite. Israeli nako yamewakuta, sehemu muhimu za kiusalama zinalipuliwa. Utapinga, utanuna, utabisha na kuleta hasara ila hii ndiyo hali ilivyo.

SASA IRAN ANAPAMBANAJE: Mwaka 2018 nakumbuka kuna uzi wangu nilifurumushiwa matusi na mabazazi na madunya wa humu ndani, nilioandika kuhusu dhana ya ASYMETRIC WARFARE. Dhana hii inafanya kazi pale ambapo taifa dogo au kikundi kidogo kinapambana na taifa kubwa. Lengo siyo kutaka kupambana CONVENTIONAL WARFARE, ila ni kumsababishia maumivu makubwa yule aliye mkubwa kiasi cha kufanya akimbie. Mfano halisi, ni USSR vs Mujahedeen au USA vs Vietcong.

Iran hana AIRFORCE kama USA na ISRAEL. Iran hana NAVY kama USA na ISRAEL. Iran alichokiamua ni kutengeneza FORMIDABLE ROCKET AND DRONE FORCE, ambalo lina uwezo wa kisasa kabisa kushambulia taifa lolote lile hapa duniani. Jambo ambalo wengi hatulifahamu ni kwamba Iran mbali na udhaifu wao mwingi, walianza kupambana na Marekani tokea mwaka 1979, na wameshuhudia USA akishambulia wenzake kama Iraq, Afghanistan, Libya na Venezuela. Unadhani ni wajinga ???

MADHARA ENDAPO VITA HAITAISHA MAPEMA:

Mosi
, The Aura of American Invincibility has been shattered before the world. Zile propaganda za kusema hakuna wa kumgusa Marekani hazipo tena. Iran katuonesha kwamba Marekani na Israel wanagusika. Hebu sasa fikiria, endapo Uchina ataamua kuvamia Taiwani, nani anaamini kabisa kwamba kambi za Marekani zilizopo South-Korea, Philippines, Japan na Guam zitakuwa salama, kama tu kambi kubwa za Marekani barani Asia zimelipuliwa juzi na jana na Iran, taifa ambalo halina nguvu kama Uchina. Kiukweli, Marekani alizichanga karata vibaya na yanamtokea puani.

Pili, Urusi atapata nguvu kubwa kutokana na bei ya mafuta kupanda. Saudi Arabia, UAE, Oman, Qatar na Bahrain wanaogopa kupitisha mafuta Mfereji wa Hormuz, ambao kwa siku mapipa milioni 17 yanapita. Vita ikiendelea hivi na Iran akafanikiwa kufunga kabisa mfereji, basi mafuta ya Ulaya na Asia itabidi yapatikane Urusi ambako kuna vikwazo. Juzi Vladmir Putin kasema anafikiria kusitisha kabisa kuuza gesi Ulaya. Sasa USA na EU watabakiwa na maamuzi kama haya: Ondoa vikwazo ili tupate nishati kutoka Urusi. Bahati mbaya wakiondoa vikwazo Ukraine ndiyo kwaheri.

Tatu, Urusi atapenda kulipiza alichofanyiwa Ukraine. Hii ndiyo tabia kuu ya Urusi. Niguse-Ninuke. Marekani akitingwa kule Iran, basi lazima atapunguza kuangalia Ukraine. Sasa itabidi silaha zote zinazozalishwa zienda Persian Gulf (Ghuba ya Uajemi) siyo Ukraine. Urusi na Uchina wanaweza kuigeuza Iran, VIETNAM 2 endepo Marekani akiendelea hivi bila kuomba msamaha. Bahati mbaya sana kwa alichokifanya Donald Trump, Marekani ikirudi nyuma kama kipindi cha Twelve Days War mwaka 2024, basi ndiyo mwisho wa siasa za MAGA na Trump, na anaweza kufungwa kwasababu ameanzisha vita bila kibali cha Bunge.

Nne, mpaka sasa SECURITY DIPLOMACY ya Marekani imekufa. Ameingia makubaliano ya ulinzi na Saudi Arabia mwaka 1971, na mataifa kama UAE, Qatar na Bahrain kwamba wakitumia Dollar kuuza mafuta basi atawalinda. Bahati mbaya wanapigwa na Iran, wanaomba kuuziwa silaha na msaada wa kijeshi lakini bado hawajapata, kipaumbele chake ni Israel na kambi zake. Hii ndiyo vita kubwa ya kipropaganda ambayo Marekani hawezi kuishinda, endapo hatawalinda Saudi Arabia, UAE na Qatar dhidi ya Iran. Ujumbe utakuwa ni kwamba, kama Marekani ameshindwa kuwalinda UAE, Qatar na Saudi Arabia dhidi ya taifa dogo kama Iran, ataweza kweli kuwalinda Japan, South-Korea, Philippines na Australia dhidi ya taifa kubwa kama Uchina ???

Tano, THE COLLAPSE OF THE LAW OF NEUTRALITY. Katika sheria za kimataifa hasa wakati wa vita, The Law of Neutrality huyalinda mataifa ambayo hayapambani moja kwa moja, hata kama yanakuwa yanauza silaha kwa adui au kuwa na kambi za kijeshi ambazo hazitumiki kijeshi kushambulia adui. Kitendo cha Marekani kuvamia Iran bila sababu ni uvunjifu wa sheria za kimataifa. Hata Iran kuanza kuvamia Saudi-Arabia, UAE na Qatar ni uvunjifu wa sheria za kimataifa. Lakini Marekani hawezi kulalamika katika hili kwasababu yeye ndiye mvunjifu sugu wa sheria za kimataifa. Sheria za kimataifa ili zifuatwe na mataifa madogo, inategemea sana mataifa makubwa.

Hili lisipoangaliwa sana, tutaamka siku na kukuta Urusi kaanza kulipua Poland na Ujerumani kisa tu kuna kambi za jeshi za Marekani, hata kama hazitumiki kushambulia. Huku ndiko tunaelekea. Hivyo tukishafahamu haya, vitaifa masikini kama Tanzania vijiepushe na tabia za kupenda kujipendekeza kwa mataifa makubwa kama Uchina, Urusi na Marekani. Dunia inaelekea kubaya na kama tukitaka kuvuka itabidi kweli tusifungamane na upande wowote. Sasa wale wanopenda pesa za waarabu kisa ni wenzetu katika IMANI wakiendeleza tabia zao za kusajili manowari kule Zenji, wataliletea hili taifa matatizo makubwa mno. Tena kipindi hiki ukipigwa huna pakusemea maana kila mtu anapambana lwake.

==============================================================================

HALAFU KUNA MABAZAZI mengine yanasema INTERNATIONAL LAW IMEKUFA, haya nitayajibu baadaye.HAYANA AKILI

Mtu akisha sema tu kuwa urusi ilifanya kosa kuvamia Ukraine basi namweka mtu huyo kwenye kundi la low IQ...pia urusi inapigana na nchi nyingi sana Ukraine ndiyo maana hata vifo vya majeshi kule ni kubwa sana.. vita vya urusi na Ukraine vilitengenezwa na kuanzishwa na Nchi za NATO siyo urussi lengo lilikuwa ni kuihujumu Urusi.
 
Asante sana kiongozi.
 
USA wamesema itawachukua 4-6 weeks kukamilisha objectives zao. Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu alitegemea hii vita iishe ndani ya wiki.

USA wenyewe kwa muhibu wa D.Trump atleast anakana kwamba wako vitani, anasema (Trump) wamechukua actions tu ku-bomb iran.
anyway, lkn jambo ambalo binafsi nashindwa kuelewa khs wanaoisifia islamic republic of iran, irani haina air defense kabisa ndege za USA na israel zinaingia na kutoka kwenye anga ya irani zinavyotaka, uongozi wote wa irani kuanzia kiongozi wao mkuu ayatola ambaye ni commander in chief wa jeshi kwa nchi nyingine ni kama raisi wa nchi, mkuu wa majeshi wote kuanzia waziri wa ulinzi, general mkuu wa jeshi na cream yote wameuliwa kirahisi kabisa bila ya kizuizi chochote kile halafu hapo hapo bado kuna watu wanasema kwamba irani anashinda? anashinda nini sasa? hana uwezo wowote ule wa kulinda air space yake anawezaje kushinda chochote?

kwa hali ya kawaida walipaswa (mullahs) kusalimu amri zamani sana kwani siyo mara ya kwanza mwezi juni mwaka jana 2025 USA waliiingia air space ya irani kirahisi kabisa na ku-bomb nuclears site bila ya kizuizi chochote kile hilo peke yake lilipaswa liwashtue kwa kushindwa kujilinda kwani hawana uwezo, wangesalimu amri kujipanga upya na kuanza maisha mapya lkn bado wanashupaza shingo wakati hawana uwezo wowote ule wa kujilinda dhidi ya adui ...
 
Wewe jamaa tangu uandike uongo uongo kule kwenye uzi wa mgogoro wa Urusi na Ukraine, inahitaji kusoma mara mbili mbili unachoandika.
Kwa hiyo nyinyi mnafurahi taifa moja kuua political leadership ya taifa jingine kisa vita???Hiyo ni sign ya weakness sio nguvu.Nguvu inatambulika kwenye utiifu wa sheria za kimataifa, sio kulipua watu na nchi kisa una jeshi kubwa, nguvu kubwa etc.
Pili mlitaka Urus wamle kichwa Zelensky ili tu awafurahishe watu kama nyinyi et ndo nguvu hizo au sio???Umesahau Putin alimuhakikishia waziri mkuu wa Israel kipindi kile kuwa hatomgusa Zelensky???Uo ndo uongozi...
Vita sio betting, au Simba na Yanga, kwamba mna-prove ubishi wenu kwa kutembea na roho za watu.
Et Urusi hatawali anga, mosi hujui kuwa kuna vijeba vimejichimbia pale -NATO na air defenses za Kutosha, utalinganisha na Iran??
Pili Urusi anawezapiga popote kwa missiles akitokea kwake, kwa nini ahangaike kuweka rehani maisha ya airforce yake wakati ana alternative??Makombora tu na drones zinagusa kila kona..

US atashinda pambano pale Iran lakini hatshinda vita...BATTLES yes, atawatwanga kwelikweli lkn kushinda vita sio rahisi pale, nchi kubwa ile, milima na mapango kama yote

Vita ya Urusi niliandika uongo gani, miaka minne iliyopita?

Political leadership haitakiwi kuuwawa ila inategemeana na mazingira, umeona Rais wa Iran anauwawa?
Sasa Ayatollah yeye main policy yake ni "Death to Israel" na haiachi miaka zaidi ya 40 sasa wafanyeje na wameishajizuia miaka mingi kumsitiri, Ayatollah atakayedumu atakaa kwa heshima. Mbona Hezbollah na Hamas nao wamejiheshimu baada ya kila kiongozi anayejifanya amechanganyikiwa, anauwawa.
Ni sheria za wanasiasa hizo ili kujilinda vita ikitokea, ili wapange mipango ya kipuuzi kutuma vijana wa watu wakafie frontline huku nyuma wao wanakula na kusaza. Kukiwepo tishio la kuwaua ndio sense inakaa kichwani mwao wanatafuta suruhisho haraka.
Viongozi wa kijeshi mara nyingi wanauwawa wakiwa kwenye majukumu ya kijeshi, ama yupo kambini au frontline au kwenye ammo dump au anakagua utekelezaji wa mikakati ya vita.

Hilo la air defense systems Iran ilinunua za Urusi na China, na hazijasaidia almost lolote. Iran ilitakiwa inunue fighter jets hasa Su-35 za Urusi zingewasaidia sana ila Urusi wenyewe ndio marafiki wanafiki.
[/QUOTE]
Hakuna ushahidi wa China kuiuzuia Iran mifumo ya ulinzi zadi ya tetesi tu.
Kuhusu Urusi kuizungusha Iran kuipatia su-35 kwakweli anazingua sana hasa ukizingatia Iran amemsaidia sana kwenye vita yake huko Ukraine.
 
Hakuna ushahidi wowote unao onesha kuwa China imemuuzia Iran mifumo ya ulinzi zaidi ya tetesi tu.
Kuhusu Urusi kuizungusha Iran kuipatia su-35 kwakweli Urusi anazingua sana hasa ukizingatia Iran imemsaidia sana kwenye vita yake nchini Ukraine.
 
Kuna hili lifala linaitwa let the caged bird sings ni moja kati ya Mabazazi na Madunya ya humu ndani. Limetoka shimoni baada ya maumivu makali ya moyo, likaharisha ujinga halafu likaenda kuvimbiwa futari ya Kwaresma.

Lenyewe na wenzake wengi humu ndani niliwahi kuwaambia mwaka 2022 kwamba muda ni mwalimu mzuri sana, wekeni akiba ya maneno. Katika wooote ambaye huwa hajawahi kunivunjia heshima kwenye mijadala ni mdogo wangu T14 Armata , atabishana na mimi vikali ila hajawahi kubisha kitu bila walau kuweka hoja. Katika hili namheshimu sana sanaaa.

Mengine sasa hivi yanachungulia yanapita kimyakimya kama mapepo yakitegemea walau CNN watangaze chochote kibaya kilichowakuta Iran ili wakilete hapa, lakini wapiiiiii. Mimi niko nao tu hawaa Weekend yote hiiiii
You constantly shy away from speaking the truth. If you can not speak honesty due to your " Mahaba" it would be better to remain silent than to mislead people. As one of the Most prominent JF Speakers, Many may assume you hold the monopoly on Truth.
Once I felt a victim to your biased posts. back then I would slide into your profile and read your posts and I felt apprehensive about what the future holds for the world. due to your incessant take on Geopolitics.
Then, I have taken my time to study pattens and it appears that you prettily alarming opinionated emotional analyst.

In other hand.
adriz Remind your children that jumping into a conversation when adults are talking is a sign of being ill-mannered. Discourage this both in your home and elsewhere.
 
Ukishachagua TU upande
Uchambuzi wako unakosa mantiki na credibility

Unalinganisha vita ya Marekani aliyepigana chini ya wiki mbili na Urusi ambaye anapigana miaka mitatu Hadi sasa na taifa jirani hapo
Kweli kabisa Marekani halingani na Urusi chochote kile Ila Bazazi Bin Dunya umeshindwa kung'amua. Marekani ana jeshi bora kuliko Urusi. Ana uchumi imara kuliko Urusi. Ana kambi za jeshi duniani zisizopungua 800 ilhali Urusi hana. Ana teknolojia imara ya kuweza kushambulia popote pale dunaini kama alivyofanya Iraq, Afghanistan na Libya. Mpaka sasa ana wanajeshi 50,000 wameizunguka Iran, wakisaidiwa na mataifa kama Israel, UAE, Saudi Arabia, Qatar na Bahrain.

Sasa kwanini THE ONLY SUPER POWER imeshindwa kumaliza vita ndani ya siku nne kama walivyosema ??
 
Kuna watu niwapuuzi sana kuvamiwa Irani ni sawa ila kuvamiwa ukrein si sawa hayo ni mahaba ya kishetani
Halafu hawa Mabazazi na Madunya pia ndiyo wachambuzi maarufu wa siasa za Tanzania.

Jambo ambalo linaleta sana ukakasi ukifikiria mustakabali wa hili taifa.

Kiukweli kuna shinda kubwa pahala kwa aina hii ya wasomi.
 
Iran ni taifa dogo kushinda marekani lakini USA ain't having an easy way.

Marekani hawezi kupigana vita bila kuwa na allies ambae kwa sasa ni waarab(wote wamechezea) na Israel.

Iran anasurvive peke yake, pamoja na kwamba amekuwa kwenye economic sanctions kwa miaka zaidi ya 40 sasa.

Waajemi sio wamatumbi kwamba you can have an easy route.
These were the Persians who ruled the known world for more than 200 years.

They're resilient and proud.
 
Nilitegemea kwa kiasi lakini sio kwa kiwango hiki.
Sasa akitaka amkomeshe Marekani atoe suprise ya karne. Sijui atatumia teknolojia gani ikitokea akashambulia Washington wengi watashangilia hata kama atapigwa.

Hata hivyo kwa kiwango alichofikia inatosha. Heshima ipo

View: https://youtu.be/GqZis_pCi4c

Huyu ndiyo Waziri wa Ulinzi wa Marekani halafu unashangaa kwanini Marekani inafeli.....
 
Sawa!

Vipi kuhusu Pol Pot wa Cambodia sasa ???

Jirani kabisa na Vietnam.....
Pol Pot alidumu miaka minne tu madarakani, vipi naye ulitaka afukuzwe madarakani na Marekani?
Kama hawa waliofukuzwa madarakani na bado unalalamika.

Baadae tena utaniuliza mbona US hajaja kumtoa Museveni. Ila muda huo huo unalalamika kwanini kamtoa Maduro.
 
Back
Top Bottom