malcom lumumba

 1. LOVE U JF

  Washington vs Bujumbura

  Nakwenda kwenye mada ni wiki mbili zimepita Rais Trump alisema serikali ya Burundi ni hatari kwa usalama wake , tamko hilo lilikanushwa na serikali ya Burundi kupitia msemaji wa serikali, sasa mimi najaribu kujiuliza na sipati picha U.S.A kuhofia ki inchi kidogo na maskini kabisa . Je ni nini...
 2. Damaso

  Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

  Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
 3. Z

  Kwanini wanafalsafa wa kale wa Magharibi walitofautiana juu ya chanzo cha ulimwengu na uhai ?

  Historia ya binadamu na ustaarabu wake,inatusimulia na kutilia mkazo juu ya chanzo cha ulimwengu na vilivyomo. Achilia mbali usahihi wa nukuu hizo za kihistoria,hili ni somo kando na hapa halizingatiwi kwa sababu za kielimu na dharura ya muda. Anasema muandishi wa kitabu "Wanafalsafa wa kale wa...
 4. lifecoded

  The hidden meaning in the gospel of Thomas

  Natumai kila mmoja wetu humu ndani yu mzima wa afya njema kabisa,,,hivyo niombe sana modulators Invisible msiuhamishe uzi huu kwenye jukwaa la dini kwani una madini kibao kwa wana Itelligensia wa humu na niombe tu kwa wale ndugu zangu wafia dini ambao mmekuwa mkiyameza maneno kama yalivyo kwenye...
 5. neo1

  Tetesi: Russia imeingia Libya

  Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito, Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa kutoa mafunzo.. pia kuna kambi kubwa mbili huko Tobruk na Baghaz pia inaaminika siraha na...
Top