Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Screenshot_2024-02-12-21-41-46-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Aseme tu kua alinunua amani na Magufuli kwa kumrudisha Lowassa CCM ili Magufuli abariki mradi wa Taifa Gas na kumpa uhuru wa miradi yake Rostam.

Rostam akamrudisha Lowassa,akawapa CCM Channel Ten na Magic FM kama nyongeza
 
Back
Top Bottom