kosa kubwa LA manji ni kipengele cha wagombea urais pale walipokuwa wakitafuta wadhamini ,manji aliyemdhamini hakupita na hakuchukua urais,sasa sisi afrika serikali zetu zinatakaje kumdhamini mgombea napo ni kosa kiasi kwamba serikali iliyopo ikushikilie kisa wewe ni bilionea etc,madawa ni njia ya kumbana awakubalie kuwa nae, lakini kauli ya mh mkulu anakosea mno ni chuki za wazi kwa ujumla siungi mkono kukomoana na wala sitetei wauza madawa wakubwa ambao kwa ujumla wanawafahàmu ,ila swala la msafara ukianza unaweka na kafara humo humo hapana ,afrika hatuta kuja kuendelea