Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Hivi huyu alikuwa anatokea kampuni gani vile?

20150711062922%2B%25281%2529.jpg
Ndiyo visasi au?
Tulidhani kauli yenu uchaguzi umeisha kumbe ni funika kombe mwanaharamu apite! Lol!
 
Tunazungumzia Utajiri, we hujui Kodi za hayo Meno ya Tembo ndio Wakoloni Walimsomeshea Nyerere!

Baba Yake Nyerere nae alikuwa Chief ( kibaraka wa Wakoloni) na alilipwa kwa Kodi walizolipa Babu zake Manji
Hivi Pohamba kwanini hukosagi jibu katika kila swali unalo ulizwa ? [emoji38] eti meno ya Tembo yalitumika kumsomeshea Nyerere
 
wewe acha upuuzi wako,polisi siyo sehemu ya kwenda kufanya show xa kijinga kuna car wash pale?au kuna kanisa la kuimbia kwaya pale sasa warudie tena wakione cha mtemakuni
 
Umeandika point za mashiko viongozi wa ki Africa huwaza madaraka na kuogopwa ka miungu licha ya nchi nyingi kupata Uhuru wake lakini siku zinavozidi kwenda ndo umaskini unazidi kila kukicha hao kina kagame, museveni Mugabe hadi watafiwa madaraka ni, ka bara letu linatia aibu, mbaya huwa tunapata viongozi wajuaji kuliko.
Ni kama tuna kijilaana Fulani. Hakuna visionary leaders but walaji wazuri
 
Visasi ni kitu kibaya sana hakijengi zaidi ya kubomoa hata maandiko yatuasa tusilipe kisasi maana ni juu ya Mungu.
Utashangaa wapendao visasi bao hudai kumtaja Mwenyezi Mungu wasichojua ghadhabu take haibanduki kwao.
 
Sasa si aseme anunuliwe tu ka hyo maana ile range hatari sana inang'aa hata mi ningekuwa pale ningeifuta ili kamanda Sirro anikute.
Vibosile wanashangaa kuona nguvu ya kisiasa aliyonayo. Walidhani wanammaliza kumbe wamemjenga na yuko ngangari.
 
Ukoo wa Manji ni matajiri toka enzi za mwl wakiwa na Quality garage ya kuunda mabodi ya magari. Huyu dogo ame neemesha zaidi utajiri wao sasa mkulu anataka kimfilisi ama kimfunga.
Quality Garage imeanza 1995 Nyerere alistaafu 1985. Wapi na wapi?
 
Viwanda kujengwa nchi hii ni ndoto za kimweri na paa hamna mipango mikakati endelevu, mazingira tu ya uwekezaji yanatisha investors, umeme wenyewe hautabiriki hivo viwanda labda vijengwe angani.
Vumilieni, si mnajua nchi hii nayo ni kama Republican na Democratic. Republicans wanapoingia ni ku-confuse mambo, arrogance, na watu kujazwa umaskini. 2025 Democratic tutashika nchi tena tutawajengea viwanda na kuvutia uwekezaji. Ila uliyosema yote kweli hakuna viwanda chini ya jemedari tulionaye.
 
Mahaba jambo baya sana.Kuitwa polisi tayari mtu anaandamwa??!!
Unaitwa chini ya utaratibu Wa sheria IPI ndiyo utata waanzia hapo na kutojua sheria hakuhalalishi kuzivunja sheria.
Kiranja kakiri yeye alikuwa gizani huu ya sheria husika ambayo Makonda au polisi hawajapewa hayo mamlaka ila time husika.

Baada ya kukosolewa ndiyo wameanza kuiwezesha tume kwa kuteua uongozi wake na sasa majina hawayatamki hadharani bali wanakabidhi tume ya kudhibiti madawa ya kulevya.

Haki za watuhumiwa wote kabla ya tume kuanza Kazi ni uonevu usio na kifani.
 
Wafutiwe makosa? Makosa gani mkuu sibado wengine hawajafikishwa mahakamani.
Sasahivi wanatuhumiwa tu.
Tuhuma zisipo dhibitishwa wakitaka wafungue kesi ya madai kudhalilishwa.
Wakuwatuhumu ni Makonda au tume? Ukikosea utaratibu huwezi kutenda haki hivyo unafuta tuhuma zote dhidi yao kuendeleza haya maonevu ni kuhalalisha dhuluma dhidi ya jamii na kukwaza vita tajwa.
 
Rutashubanyuma

Manji utajiri aliukuta toka enzi za baba'ke na pengine hata babu yake.

Nyerere hakumtaifisha baba'ke kwa sababu maalum.

Labda wakati wa Mwinyi aliongezea utajiri kwa kuwa tayari walikuwa na mitaji mikubwa kwenye familia yao.
Yeye adai ni Quality Group aliyoianzisha 1995 sasa sijui lipi ni lipi ila kubwa kutuhumiwa na Makonda kinyume na sheria husika ni uonevu.
 
Back
Top Bottom