nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,019
- 14,948
HIYO NI JUZI.....ANZIA ENZI ZA BABA YAKE ALIPATA WAPI HELA YA KUNUNUA YARD PUGU ROAD NA KUANZISHA QUALITY GARAGE MIAKA HIYOO YA NINETEENTH KWEUSIAcheni upambe wa kishamba, Nani aliekudanganya kuwa utajiri ule ni wa kurithi!?
Yule ni MTU wa madili, ngoja nikupe mfano mdogo tu.
Manji alikopa PSPF 9Billions, akanunua maghala ya Ubungo/Urafiki(industrial packing) na Quality Plaza.Mwaka 2004 akauza hizo assets mbili.
PSPF waliomkopesha Billion 9 wakauziwa Quality Plaza kwa 36 billions na Maghala ya Ubungo wakauziwa NSSF kwa billion 47.5
Yaani MTU anakopa billioni 9 anakarabati majengo then anarudi kuyauza kwa jumla ya 83.5 billions. Kwa walewale waliomkopesha. Sasa ulizia toka akope mpaka auze alitumia muda gani kama mchakato wa kuuziana ulikamilika ndani ya miezi miwili
Kama haitoshi waliompa 9billions na kuwauzia Quality Plaza kwa 36billions, alirudi kupanga ¹/³ ya Quality Plaza kwa miaka 10 akakaa bila kulipa pango akaacha deni la 13billions kabla hajatolewa kwa nguvu Dec.3 2016.
Labda hujui hesabu 9b= 47.5b + 36b + 13b, (9billion=96.5billions in 12 years)
Halafu wewe kidampa mmoja unadai utajiri alirithi....
Fanya utafiti kabla hujakurupuka ndugu