Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kinacho nishangaza katika awamu hii ndio hiko, atajiri wanaoenakana kama watenda dhambi.
Wakati kama ukikaa nao vzuri, uka punguza kodi uka punguza regulations ngumu hao ndio huwa wana saidi uchumi kukua, na ma midleclass kuongezeka
Wao wanajali madaraka tu nyie Watanzania kufeni na shida zenu kwa kukosa huduma muhimu wao hawajali, sasa wakimuona mtu ana support upinzani indirect wanamuundia zengwe maana wa naona wataharibiwa ulaji.
Sasa awamu hii ndo maskini jeuri haswa hawajali shida za watu wao full ubabe, bora punda afe ila mzigo ufike.
 
Hata kujenga nchi ya viwanda wameweka kando baada ya kutembeza kombe la misaada wajengewe viwanda kugonga ukuta sasa wamerukia vita vya kiroho baada ya vya kimwili kuwagalagaza
Viwanda kujengwa nchi hii ni ndoto za kimweri na paa hamna mipango mikakati endelevu, mazingira tu ya uwekezaji yanatisha investors, umeme wenyewe hautabiriki hivo viwanda labda vijengwe angani.
 
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."

Chadema bana..wakati ule Manji ananunua yale majengo ya NSSF mkamtukana sana kama fisadi, wakati amenunua jengo la Salamander na kulivunja mkamutkana sana kama fisadi, kwenye orodha yenu ya mafisadi yumo na mkadai hasughulikiwi kwa vile ni mfadhili wa CCM. Leo hii utawala wa awamu hii umembana kwa makosa ya madawa ya kulevya mmeibuka kuwa watetezi wake....mna laana ya Dr. Slaa nyie
 
Tunazungumzia Utajiri, we hujui Kodi za hayo Meno ya Tembo ndio Wakoloni Walimsomeshea Nyerere!

Baba Yake Nyerere nae alikuwa Chief ( kibaraka wa Wakoloni) na alilipwa kwa Kodi walizolipa Babu zake Manji
IPO shughuli hapo.
 
Manji anadhani huu ni utawala wa jk ataiweka serikali mfukoni??
Juzi aliongea jeuri na kashfa kibao kwenye press conferance......ngoja atiwe adabu sasa!

Sasa kwani kweny ile Press conference lile Range Rover lake nalo liliongea Jeuri? Maana nalo Mzee wa White House Alisema nalo lilipaswa kuwekwa Mahabusu na akamlaumu Sirro kwa hilo!
 
Kinacho nishangaza katika awamu hii ndio hiko, atajiri wanaoenakana kama watenda dhambi.
Wakati kama ukikaa nao vzuri, uka punguza kodi uka punguza regulations ngumu hao ndio huwa wana saidi uchumi kukua, na ma midleclass kuongezeka
Nikweli lakini hainamaana kwamba tajiri hawezi kukosea.
Saazingine sisi wenyewe tumekua tukilala mika kwamba maranyingi matajiri hawashugulikiwi wanapo kosea kwasababu ya pesazao.
Ngoja sheria ifuatemkondowake kama hana hatia ataachiwa.
 
Viwanda kujengwa nchi hii ni ndoto za kimweri na paa hamna mipango mikakati endelevu, mazingira tu ya uwekezaji yanatisha investors, umeme wenyewe hautabiriki hivo viwanda labda vijengwe angani.
Hata mfumo Wa kodi Wa uhakika hakuna Leo hivi kesho vile huku miundo mbinu zinabomoka mwezi tu baada ya uzinduzi sasa viwanda ni njozi za Abunuwas
 
Chadema bana..wakati ule Manji ananunua yale majengo ya NSSF mkamtukana sana kama fisadi, wakati amenunua jengo la Salamander na kulivunja mkamutkana sana kama fisadi, kwenye orodha yenu ya mafisadi yumo na mkadai hasughulikiwi kwa vile ni mfadhili wa CCM. Leo hii utawala wa awamu hii umembana kwa makosa ya madawa ya kulevya mmeibuka kuwa watetezi wake....mna laana ya Dr. Slaa nyie
Mimi ccm sina ubia na chadema usinivike joho LA wengine ninapomulika haki na mustakabali Wa taifa letu.
 
Kwani Makonda si mlisema ni Team Membe.?
Na mkasema huwa anakutana na Membe Kumuhujumu Rais..
Na pia kwa mujibu Wa Msukuma Juzi Bungeni Ni Kwamba 'Makonda Alikuwa Analelewa Na kuishi Kwa Membe'..How Come Tena mseme Makonda Anamkomoa Manji Kwasababu Ya Mahela Ya Membe.?

Bavicha Stop This Please..
Daah upo vizuri
 
Wao wanajali madaraka tu nyie Watanzania kufeni na shida zenu kwa kukosa huduma muhimu wao hawajali, sasa wakimuona mtu ana support upinzani indirect wanamuundia zengwe maana wa naona wataharibiwa ulaji.
Sasa awamu hii ndo maskini jeuri haswa hawajali shida za watu wao full ubabe, bora punda afe ila mzigo ufike.
Yes
Last election they saw themselves almost out of power.
Now they want to grab t by any means neccessary
 
Lakini piga ua Manji ameajiri zaidi ya watanzania 5,000. Wanaomchukulia kirahisi rahisi ni kwa vile hawajui wameingia madarakani kufanya nini. Muda unayoyoma sana
Wanajua na ndiyo maana wanamwona ni tishio kisiasa. Kwa hiyo wameanza kumsomesha namba mapema akina barhesaa wametajwa sana na haya madawa lakini kwa vile wanakula bao sahani moja hawabughudhiwi.
 
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
Alikuambia nani police station ni car Wash?Kama alitaka kuosha gari lake si angelipeleka kwa waosha magari?!!
 
Chadema bana..wakati ule Manji ananunua yale majengo ya NSSF mkamtukana sana kama fisadi, wakati amenunua jengo la Salamander na kulivunja mkamutkana sana kama fisadi, kwenye orodha yenu ya mafisadi yumo na mkadai hasughulikiwi kwa vile ni mfadhili wa CCM. Leo hii utawala wa awamu hii umembana kwa makosa ya madawa ya kulevya mmeibuka kuwa watetezi wake....mna laana ya Dr. Slaa nyie
Kwahyo CDM ndo wamemkamata Manji bila kupeleka mahakamani kwa kumtuhumu kuhusu madawa?!!!!
 
Back
Top Bottom