Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Wakati Wa Nyerere kulikuwa na cha kuiba kweli hesabu zangu zaonyesha miamala ya QUALITY GROUP ndiyo imemnenepesha vilivyo.

Wakati huo ndiyo wizi serikalini na mashirika ya umma ulianza kwa kasi.

Tulidhani kuwa umma usingejiibia mali zake lakini ikawa kinyume chake.
 
Hapana, sina maana hiyo.

Baba'ke alikuwa mfadhili mkubwa serikali wakati huo.
Hizi habari waonekana wayajua mengi lakini watoa ubuyu nusunusu-AU hii vita inayoendelea imekusononesha? kawaida wewe ni mtu wa kudadavua mambo na kutuachia wasomaji tutenge pumba na mchele
 
Hivi huyu alikuwa anatokea kampuni gani vile?

20150711062922%2B%25281%2529.jpg

Hili lilikuwa igizo la kuwa frustrate Watu wa Lowassa wasisusie Zoezi la kupiga kura za kumchagua Mgombea Urais CCM na kweli ikafanikiwa
 
Hizi habari waonekana wayajua mengi lakini watoa ubuyu nusunusu-AU hii vita inayoendelea imekusononesha? kawaida wewe ni mtu wa kudadavua mambo na kutuachia wasomaji tutenge pumba na mchele

Pohamba kishaelezea kwa maneno machache hapo juu.
 
Watu ad walisahau kutafuta hela wale wanakula story tu, mondi kajuta kutoa marry you msimu huu [emoji23] [emoji23] [emoji23] "
Hali ilikuwa hatari sana huku press ya manji huku kituoni aisee mond, sijui arobaini watu wakawa hawana hamu kisa kuitwa central huko.
 
Huyu jamaa Ana hasira sana na watu,hasa upinzani na wenye fedha ,roho unamuuma sana kwa haya mambo,cheki kwa Lema na Leo Manji
 
maamuzi ya HC ya coco beach yamesiginwa vipi? tuelimishe mkuu wangu. na pia yanga ina mgogoro upi mkuu na nani ana mkono wake humo??? fafanua mkuu maana wengine hatujui kabisa mambo hayo
High court iliamua manji ni mmiliki halali na utawala huu umegoma kuheshimu maamuzi ya mahakama.

Yanga maamuzi yao yamekwamishwa kwa madai hakuna ushirikishwaji wakati upo na hakuna walalamikaji.

Fuatilia hizo dondoo.
 
africa ina nchi zaidi ya 40. unamaanisha nchi zote hizo wenye hela ni adui? naweza kukuambia kwamba ni kinyume chake. maskini ndio adui wa kila mtu afrika na si vinginenyo. unajua nchi zetu nyingi za kiafrika tumezoea kuwatukuza wenye pesa, kwamba wakifanya kosa wasikamatwe, kwamba wasihojiwe polisi, kwamba wasilale mahabusu -- kwamba wakifanyiwa hayo basi hawapendwi na wanakomolewa--- WRONG. Hakuna aliye juu ya sheria, uwe maskini au tajiri mahabusu au gereza ni moja tu na hawabagui kule. sasa turudi kwenye hoja yako, tajiri yupi anachukiwa? je maskini wanapendwa???
Unapoingilia mamlaka ya tume ya kudhibiti madawa ya kulevya wewe hauko huu ya sheria kweli?
 
Acha kujikomba na kujipendekeza wewe, Polisi ni sehemu ya kuoshea magari ya watuhumiwa kenge wewe unaandika upumbavu huna hata chembe ya huruma na nchi yako katika wote umemuona Manji peke yake ficha upumbavu wako wewe huoni hiyo ni dharau kwa nchi na serikali kwa ujumla?
Anayemwita mwenzie kenge ndiye afiche upumbavu wake kwani yuko nje ya mada.

Mwaka huu mapovu yatawatiririka vilivyo na mbando!
 
Back
Top Bottom