Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Nnayemsikitikia ni makonda kwa kugusa vya moto, aombe jamaa amshit tu lakini kama ataamua Ku revenge makonda yuko mashakani.

Hawa wajamaa wako njema kila idara aise, makonda asiwaamini hata hao aliopew wamlinde kwa sasa.
 
Na ndio lengo hilo ndo maana mengi kawa mpole na mdogo ka piriton. Wakati USA waki create mabilionea wengi huku wanafilisiwa badala ya kuwezeshwa ili kutoa ajira kupitia hata viwanda
Nilikuwa nawalaumu sana wanaoenda kuficha mabilioni yao uswisi ila sasa nimeelewa. Hata mi nikiwa bilionea siziweki hapa. Waafrika Hatuko sensitive na uchumi hata kidogo. Yaani gari kufutwa vumbi imekuwa issue ya kuwa addressed na TIC?
 
thanks mkuu. hiyo kesi siijui
Karibu. Lukuvi alidai serikali haitambui makubaliano yake na jiji juu ya uendelezaji coco Beach huku akijuafika maamuzi ya kimahakama kuwa mkataba wa uendelezaji Wa Coco Beach ni halali.
Utawala bora uko wapi?
 
wewe acha upuuzi wako,polisi siyo sehemu ya kwenda kufanya show xa kijinga kuna car wash pale?au kuna kanisa la kuimbia kwaya pale sasa warudie tena wakione cha mtemakuni
Ni sheria namba IPI na ya mwaka gani inakataza kuosha magari au kuimba kituo cha polisi? Au siyo utawala bora kwenye hii awamu?
 
Ombaomba kiswahili hujui nini?
Sikuuliza kutembeza kombe ndio nini, nimesema kivipi. Kuhusu kiswahili hapa ni nyumbani kwao, sikuingia mjini kwa gari moshi wala kushukia shekilango au kisutu. Nilichotaka kujua ni hatua gani za kutembeza bakuli walizofanya hadi sasa? Kama unazijua si vibaya ukatujuza, huzijui au hutaki pia ni uamzi wako.
 
Yeye adai ni Quality Group aliyoianzisha 1995 sasa sijui lipi ni lipi ila kubwa kutuhumiwa na Makonda kinyume na sheria husika ni uonevu.

Gwajima anadai matokeo yake kupekuliwa nyumbani kwake na kupimwa kwa mkemia mkuu ni sawa na ya Manji, sasa vipi Gwajima kaondoka bila masharti pale polisi halafu Manji kabaki? Au zile mbwembwe? Akaunti zake za benki?

Sikuuliza kutembeza kombe ndio nini, nimesema kivipi. Kuhusu kiswahili hapa ni nyumbani kwao, sikuingia mjini kwa gari moshi wala kushukia shekilango au kisutu. Nilichotaka kujua ni hatua gani za kutembeza bakuli walizofanya hadi sasa? Kama unazijua si vibaya ukatujuza, huzijui au hutaki pia ni uamzi yako.
Wakija wageni ni bakuli....tujengee viwanda badala ya sisi tujenge uchumi wetu kulingana na matakwa yetu.

Ombaomba ni ukiukwaji Wa katiba isemayo nchi hii ni ya ujamaa na kujitegemea.
 
Nnayemsikitikia ni makonda kwa kugusa vya moto, aombe jamaa amshit tu lakini kama ataamua Ku revenge makonda yuko mashakani.

Hawa wajamaa wako njema kila idara aise, makonda asiwaamini hata hao aliopew wamlinde kwa sasa.
Mmmhhhh sidhani kama tumefika huko
 
Nilikuwa nawalaumu sana wanaoenda kuficha mabilioni yao uswisi ila sasa nimeelewa. Hata mi nikiwa bilionea siziweki hapa. Waafrika Hatuko sensitive na uchumi hata kidogo. Yaani gari kufutwa vumbi imekuwa issue ya kuwa addressed na TIC?
Mbavu sina! Duh!
 
Manji amepatwa misukosuko mingi tangia hawa vibosile wakamate ulaji kwa sababu kubwa moja tu wakati Wa mchakato Wa uraisi ndani ya CCM alimpigia debe la nguvu Membe.

Yale maburunkutu yalidakwa baadaye yakatakatishwa na polisi kuwa hayakuwa na dhamira ya kuhonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM bali yalikuwa ya kuendesha shughuli za mfanyabiashara huyo.

Membe alipodondoka na Manji khali yake kisiasa ikaingia matatani.

Iwe Koko Beach, iwe ni Yanga na sasa madawa ya kulevya Manji anasomeshwa namba na chama chake.

Visasi ndiyo mkakati uliopo lakini pia kumdhoofisha kiuchumi na kisiasa asiweze kufurukuta na kuwa na ushawishi wowote chaguzi zijazo.

Unapoona kibosile anakerwa gari la Manji kuoshwa Central Police na kama yeye angelikuwa ni IGP angeona cha mtema kuni ujue huo ni uhasama mtupu na visasi.

Kwani kuosha gari polisi ni kuvunja sheria ipi hadi kibosile autamani u-IGP?

Manji ikumbukwe alianza kutajirika wakati wa Mwinyi, Mkapa na JK wakamneemesha vilivyo kwa madili kebekebe sasa ni wakati wake Wa kusoma namba.

Akina Professa Kapuya waliomnyoshea njia wako kwenye mawe na ndiyo maana anasoma namba ila hajaielewa......ukiona hata maamuzi ya mahakama vibosile hawa wanayapuuza ujue hii ni vita ya "survival of the fittest."
Lakini Mh Raisi katika hotuba yake wakati anaapishwa, alitangaza wazi kwamba, uchaguzi umekwisha na yeye ni Raisi wa Watanzania wote, Hana chama na wote aliwasameheme, so Tujenge Nchi pamoja. Je? Unataka kuniambia Raisi amegeuka?
 
Gwajima anadai matokeo yake kupekuliwa nyumbani kwake na kupimwa kwa mkemia mkuu ni sawa na ya Manji, sasa vipi Gwajima kaondoka bila masharti pale polisi halafu Manji kabaki? Au zile mbwembwe? Akaunti zake za benki?

Manji ni bifu ndani ya ccm na Gwajima ni bifu ya debe LA Lowassa yote ni makovu ya uchaguzi hayajapona.
 
Wakija wageni ni bakuli....tujengee viwanda badala ya sisi tujenge uchumi wetu kulingana na matakwa yetu.

Ombaomba ni ukiukwaji Wa katiba isemayo nchi hii ni ya ujamaa na kujitegemea.
Uko sahihi kabisa. Nami nililiona hili nikasema kama hii ndiyo strategy iliyopo ya Tanzania ya viwanda tusahau. Mwekezaji kufanya maamuzi ya kujenga kiwanda katika nchi ya kigeni sio jambo rahisi la kuomba katika style hiyo. Niliona kwa mfano kwenye ile sherehe ya mabohora, nijajisemea moyoni twafaaa!
 
Visasi ni hatari sana.........!!!!!!!!!!!!!
Visasi dini inaruhusu

- Ukiona mtu kakaa kimya achana nae, siyo unapingana nae then akikupiga unaanza kulialia kisasi, kwani wewe umuanze mtu mpaka afikirie kulipiza kisasi
 
Back
Top Bottom