Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Kwanini Manji anaandamwa na huu utawala?

Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya anasema "Think Big".
Kama tutakuwa na uongozi hapa barani Afrika unafuatilia mambo madogo madogo, Wafrika wengi tutalala na njaa.
Bara letu lina Ukame, umasikini na magonjwa yamepiga hodi kila kona ya Afrika.
Asante Rais Uhuru Kenyatta kwa kauli yako "Think Big"

Lets THINK BIG
 
Back
Top Bottom