Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Ndio shida ni kupotezea ule mfumo sahihi wa mamlaka. Sahivi ndoa ni kama utawala wa kambale mdogo ndevu na mkubwa ndevu.
Mwanamke hakuumbwa kupewa uhuru wa kujitawala kwa sababu hawayawezagi madaraka. Wanaishiaga kuharibu tu.
Ni maelewano pia, hata mimi stipendia kutawaliwa ila ninapenda kuheshimiwa. Kabla ya kuheshimiwa inabidi na wewe umheshimu mwenza wako.
 
Ni maelewano pia, hata mimi stipendia kutawaliwa ila ninapenda kuheshimiwa. Kabla ya kuheshimiwa inabidi na wewe umheshimu mwenza wako.
Kuheshimiana ni lazima ila mpaka mwanaume kaja kwenu akalipa mahari bado unahisi hajakuheshimu?
 
Ni maelewano pia, hata mimi stipendia kutawaliwa ila ninapenda kuheshimiwa. Kabla ya kuheshimiwa inabidi na wewe umheshimu mwenza wako.
Maelewano ni common kwa mwanamke aliyekomaa kihekima ila kwa wanawake wa kileo ambao hawajui nini maana ya hekima yeye atapambana awe juu ikiwezekana hata kwa lugha chafu au kukuvimbia ilimradi ukae kimya hapo ndio anakuwa na amani!

Kwa sie wenye itikadi za ki long time ndio unakuta mtu kala bao ghafla.
 
Yani sahivi imekuwa ni kutafuta mabinti ambao wamelelewa vizuri katika familia zao. Maana watoto wengi waliokulia katika maisha ya ajabu ndio majanga
Mkuu upo sahihi 100%. Itafika kipindi wanaume watakuwa hawaoi kwa sababu wanawake nao watajiona wanaweza kila kitu.

Kwa kuwa wanapingana na mpango wa Muumba, Mbeleni huko maandiko yatatimia tu.

Wataanza kusaka waume kwa tochi
tapatalk_1566218771235.jpg

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
mchana huu njoo kwenye kiosk hapa tule tuongee vyema

Sent from my Iᴩʜᴏɴᴇ 11 Pro using JamiiForums.com mobile app
 
Mkuu upo sahihi 100%. Itafika kipindi wanaume watakuwa hawaoi kwa sababu wanawake nao watajiona wanaweza kila kitu.

Kwa kuwa wanapingana na mpango wa Muumba, Mbeleni huko maandiko yatatimia tu.

Wataanza kusaka waume kwa tochiView attachment 1586917

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Maandiko yanaelekea kutimia. Kuna wanawake tayari wanajitoa wapate wanaume tu hata kwa kugharamia mambo yote. Kiburi cha hawa watu ipo siku kitakoma.
 
Speaking from my experience as a married woman ili ndoa idumu inahitaji uvumilivu mwingi, uwazi katika kuwasiliana , kukubali tofauti za mwenzako, kujishusha pale inapobidi na kuomba sana Mungu awape hekima ya namna ya kuishi pamoja. Sio rahisi, ila ukiamua inawezekana.
Exactly well said...(ndivyo wazaze/Waze wefu walivyoweza kudumu ktk ndoa)
"Man builds house, while woman makes home"
Hii imekaajee kiafrika?
 
Ni kweli ila katika kutafuta suluhu ya tatizo siku zote huwa tunaanza na culprit! Kiini cha mume kuanza kuchepuka ni kipi? Huenda mmeishi vyema miaka miwili ila ghafla unaona mume ameanza kuchepuka.

Cha kwanza ni kuanza udadisi! Kwa upande wangu naweza kukupa experience yangu kwamba kitu cha kwanza ni mabadiliko ya mwanamke na kuanza kupuuza utekelezaji wa yale ambayo yalikuwa yanamfurahisha mme. Hii huanza taratibu ila huwa tunaonekana wabaya ni sie ambao tumetoka nje...wanasema anayeanza haonekanagi ila anayemaliza.

Nilishawahi kuhoji nikapewa jibu hilo...heheh! "kwahio unataka mapenzi yetu yawe kama tulivyoanza mwaka ....... hebu acha mambo ya kitoto"

Katika mazingira hayo nikichepuka ntakuwa na kosa? Kauli laini hakuna tena, unajibiwa ilimradi tu! Lazma utafute faraja nje tu.
Aisee pole!nazungumzia wao ambao wanachepuka bila sababu yani ni tabia yao tu na hao wapo wengi mno
 
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa 🤣🤣🤣 unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
Mtandao wa Badooo
 
Haki sawa ni adui mkuu

Wahenga walisema "Mafahali wawili hawakai zizi moja"
Heko P. Diddy principle. Wachape wasepe
 
Wahindi na Wachina bado wako katika mstari wa mila kuhusu maisha ya ndoa. Mke anafanya kazi na mshahara wote wanaupangia matumizi na mume wake. Kuna budget ya kununua nguo mara mbili au tatu kwa mwaka.

Ndoa nyingi zinafeli, hela ya mke ni ya kununulia handbag na vipodozi wakati mume wake anashindwa hata kulipa ada ya watoto.
Ukweli ni Mtupu...
 
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
Tafuta hela

Tafuta hela

Tafuta hela

Ukiwa na hela, huwezi hata kuandika hili mzalendo[emoji28]
 
Back
Top Bottom