Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
mimi siwezi kuoa wala kuwa na serious relationship na mwanamke anayefanya kazi
 
Vitu vilivyokuwa vinaogofya zamani sikuizi vipo wazi
Mambo yamerahisishwa kila kitu kimekua rahisi
Magroup ya mtandao yamekua mengi,watu wanalishana sumu humo,yameingia maswala ya haki sawa kwa wote ,je unadhan Kuna ndoa hapo,
Hi inafanya wanaume ku delay,haumtunzi mke wako,husomeshi wanao unategemea ndoa!? Mwanamke hataki shida anapenda kulelewa Kama mtoto,ndio maana kuowa Ni option yaani hulazimishwi kufanya hivyo unless kunatatizo,wapendeni wake zetu ,msitengeneze michepuko hovyo,unarudi kwa mumeo/mkeo hauna hata nguvu zakutyomber unazan yeye gogo? Eti kwakua mkeo
wasuruhishi wamekua wapo mtandaoni humo,jumlisha na saloon huko ,kifupi Ni kua mambo yamerahisishwa Sana ,dunia imekua kiganjani kila kitu kimevulugwa na kunakoelekea tutakua na ndoa za mikataba,
Mambo ya vibamia hatukuyasikia zaman Leo tunayasikia
Zaman kuona paja la mwanamke ilikua either umchungulie akiwa anaoga au akae vibaya
Leo mapaja yapo tunapishana nayo barabarani
Je upo tayar kumuowa dada wa design hi?
Je utaweza kutembea nae barabarani?
Utandawazi ume tandawazi Mambo mengi mno
 
Kwanza geti hufunguliwi, kisha ukiingia ndani ni gubu balaa. Mpaka ulale ushachambwa na chakula ukajipakulie mwenyewe. Ila yeye starehe zake humsumbui kwenda kuweka kucha na saluni au shopping amna masimango.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwanamke kama huyo namtimua siku hiyo hiyo
 
Speaking from my experience as a married woman ili ndoa idumu inahitaji uvumilivu mwingi, uwazi katika kuwasiliana , kukubali tofauti za mwenzako, kujishusha pale inapobidi na kuomba sana Mungu awape hekima ya namna ya kuishi pamoja. Sio rahisi, ila ukiamua inawezekana.
miaka mingapi upo kwenye chama cha ndoa?
 
mkuu wengi wanaogopa kuwaoa wanawake waloajiriwa coz hawapo tayari kunyanyasika, ukimnyanyasa tu anayo option ya kuendelea nawe au kuachika tofauti na wamama wa nyumbani ambao unaeza wanyanyasa na wakaendelea vumilia
 
mkuu wengi wanaogopa kuwaoa wanawake waloajiriwa coz hawapo tayari kunyanyasika, ukimnyanyasa tu anayo option ya kuendelea nawe au kuachika tofauti na wamama wa nyumbani ambao unaeza wanyanyasa na wakaendelea vumilia
Kwahiyo mnaona raha kuwanyanyasa wanawake na mnawataka wavumilie ??
 
mkuu wengi wanaogopa kuwaoa wanawake waloajiriwa coz hawapo tayari kunyanyasika, ukimnyanyasa tu anayo option ya kuendelea nawe au kuachika tofauti na wamama wa nyumbani ambao unaeza wanyanyasa na wakaendelea vumilia


Jamani kwanini mnawanyanyasa wenzenu sio vizuri.

Mimi binafsi siwezi kuvumilia manyanyaso kwasababu Mungu hakuanzisha taasisi hii kwa ajili ya kunyanyasana.
 
Kwahiyo mnaona raha kuwanyanyasa wanawake na mnawataka wavumilie ??


Tunamshukuru huyu maana kaeleza ukweli na uhalisia wa fikra zao. Utakuta mwanaume anakandia wanawake wasomi eti wanajeuri kumbe sio jeuri bali hawatoi room kwa ajili ya manyanyaso!

Hivi kweli mtu anaona raha gani kumnyanyasa mwenza wake dah!
 
Kwahiyo mnaona raha kuwanyanyasa wanawake na mnawataka wavumilie ??
Jamani kwanini mnawanyanyasa wenzenu sio vizuri.

Mimi binafsi siwezi kuvumilia manyanyaso kwasababu Mungu hakuanzisha taasisi hii kwa ajili ya kunyanyasana.
mkuu manyanyaso hayo yamejificha kwenye mfumo dume, wanaume wachache wasiouendekeza mfumo dume ndo hupendelea kuoa ke wasomi na wenye ajira
 
Back
Top Bottom