sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,763
- 8,964
Mimi nimezungumzia changamoto kwa ujumla.Ni kweli ila kwani tunazungumzia kucheat au gender balance ilivyokuja kuwapa viburi wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimezungumzia changamoto kwa ujumla.Ni kweli ila kwani tunazungumzia kucheat au gender balance ilivyokuja kuwapa viburi wanawake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huuu...mfumo wakuwafanya Watu ma Padre na masista una mazaifu mengi Sana.Padre William Ruwaichi Mkurugenzi wa Elimu Jimbo Katoliki Moshi Taarifa zako za kuwa na mtoto wa kiume anayesoma kidato cha pili katika moja ya shule zilizopo chini ya Kanisa katoliki Jimbo la Moshi tunazo.
Umezaa na nani ,mtoto anaitwa nani na yuko wapi na nani unamtumia katika masuala yote ya kumlipia ada na mahitaji mengine tutaziweka hapa muda si mrefu
Kwiayo ili ndoa zidumu..wanawake wavumilie Kila Aina ya vituko KUTOKA kwa wanaume..Ila lazima ujue nyumba ili isimame imara kuna mchango mkubwa sana wa mama. Mwanamke lazima ajitoe kuhakikisha familia yake inasimama na hii ni toka enzi.
Kuna nyumba ambazo baba walikuwa walevi mmbwa ila leo hii watoto ni mainjinia na madaktari na wanasaidia wadogo zao na familia kwa ujumla. Unafikiri haya yaliwezekanaje?
Mama alifunga mkanda haswa kwamba lazima nyumba yake isimame imara. Upendo na uvumilivu wa hali ya juu na kuchukuliana madhaifu ila still heshima ya baba ilikuwepo pale pale. Ila leo ni wanawake wangapi wanaweza kuishi na mume mlevi mmbwa?
Kuna tofauti kubwa kati ya Harusi na ndoa. Ila wenzetu wako more concerned na sherehe ya harusi ile wavae costumes wapendeze, wapige picha ila kimsingi ndoa its a very serious committment.
Kuna wanaume vimeo balaa lakini haisemwi wanawake ndio wanatakiwa kuvumilia kwa mtazamo wa wengi.Kwiayo ili ndoa zidumu..wanawake wavumilie Kila Aina ya vituko KUTOKA kwa wanaume..
Ndo wale wanawake mwanaume anamuacha na watoto wanne...Mwanamke anaangaika
Alafu baada ya Miaka 25..anarudi akiwa mzee Hana nguzu Tena Wala Mali na Ni MGONJWA..
Eti nisamehe mke wangu...naumwa niuguze
Mke baada ya Miaka 25 yakuomba mume arudi...anaenda kutoa sadaka ya shukurani kwa kujibiwa maombi.
Ndoa inaitaji Watu wawili waijenge...Tena kwa nguvu zao Zote.. huwezi MUACHIA jukumu mwanamke TU la kulinda ndoa na kutunza ndoa..kwanini
Napozungumza haya lengo si kubishana ila ni kukuonesha kiasi gani mnafeli. Hata vitabu ya dini vyasema, "pepo ya mwanamke ipo mikononi mwa mumewe"Kwiayo ili ndoa zidumu..wanawake wavumilie Kila Aina ya vituko KUTOKA kwa wanaume..
Ndo wale wanawake mwanaume anamuacha na watoto wanne...Mwanamke anaangaika
Alafu baada ya Miaka 25..anarudi akiwa mzee Hana nguzu Tena Wala Mali na Ni MGONJWA..
Eti nisamehe mke wangu...naumwa niuguze
Mke baada ya Miaka 25 yakuomba mume arudi...anaenda kutoa sadaka ya shukurani kwa kujibiwa maombi.
Ndoa inaitaji Watu wawili waijenge...Tena kwa nguvu zao Zote.. huwezi MUACHIA jukumu mwanamke TU la kulinda ndoa na kutunza ndoa..kwanini
Sasa mwanaume wako kimeo, umechukua approach gani ili kuhakikisha unasawazisha tofauti zenu? Kum frastruate ndio suluhu au kudai divorce?Kuna wanaume vimeo balaa lakini haisemwi wanawake ndio wanatakiwa kuvumilia kwa mtazamo wa wengi.
Ndoa ni ya wawili.
Kuna mada ilinivutia ndio nikapata vibe ya kuchambua kidogo haya mambo.Mzee wewe si umevuta jiko tayari. Wife anaanza mizengwe nini
Padre William Ruwaichi Mkurugenzi wa Elimu Jimbo Katoliki Moshi Taarifa zako za kuwa na mtoto wa kiume anayesoma kidato cha pili katika moja ya shule zilizopo chini ya Kanisa katoliki Jimbo la Moshi tunazo.
Umezaa na nani ,mtoto anaitwa nani na yuko wapi na nani unamtumia katika masuala yote ya kumlipia ada na mahitaji mengine tutaziweka hapa muda si mrefu
Hapo ni balaa, mwanamke anatakiwa aishi katika kutii mamlaka. Mambo ya haki za jinsia sijui mashindano ndio shida. Halafu wazazi nao pia wako biased kwa kutetea watoto wao zaidi. Ila mie ntasikiliza case ilivyo kama ni upuuzi natia binti makofi na kumuamuru arudi kwa mumewe haraka.Shida watu wanaoa wanaharakati wa haki za wanawake mkigombana kidogo anadai talaka na analialia kwenye mitandao na jamii yetu ya sasa ilivo basi inamuonea huruma inampa kichwa anaanza kukuanika kuwa ulikua hulipi ada za watoto yeye ndo kila kitu.
Na wazazi wa sasa mtoto anatoka kwa mume wake wanamkaribisha tena wanamwambia asikutese bhana.
Zamani umeolewa urudi kwa wazazi oooh wanakutimua na mikwaju na mapanga .
Upo sahihi kamanda. Muna baba namjua alikatwa mguu kisa kisukari na alikua na wake wawili. Mke wa kwanza kamkimbia kisa jamaa mlemavu na hapigi show(kwa maneno ya wanaomzunguka) ila mke wa pili ndiye anayemtunza na ni msataarabu yule mama na heshima anayo. Hana skendo ya kuwa na mwanaume mwingine zaidi ya yule bwana.Neno ulilotumia halileti ladha kwenye forum yenye watu wastaarabu,ungetumia neno lenye maana kama hili lisilo na ukakasi bado ungeeleweka,haya tuendelee,hiyo kisawasawa sasa ni kivipi!ili utusaidie wanaume wenzio kama kweli unafikiri inasaidia,unachopaswa kujua ni kuwa ndoa ni zaidi ya hilo jambo,unaweza ukawa unafanya hilo jambo hivyo unavyosema wewe na mengine yakakushinda,hapo bado usitegemee amani mkuu...
Huyo jamaa madai yake anani blackmail 😂😂😂Daaah hatari sana nimecheka sanaaaaa
We jamaa ni shidaaa kwani ni kosa kuwa na mtoto mzee?
Huyo ndio mwanamke alielelewa katika mazingira kuwa mume ni mamlaka na anapaswa kuishi nae kwa hekima, utiifu na uvumilivu. Huyo mwanamke aliekimbia ametokea familia ya hovyo bila shaka ndio hawa kizazi cha .com!Upo sahihi kamanda. Muna baba namjua alikatwa mguu kisa kisukari na alikua na wake wawili. Mke wa kwanza kamkimbia kisa jamaa mlemavu na hapigi show(kwa maneno ya wanaomzunguka) ila mke wa pili ndiye anayemtunza na ni msataarabu yule mama na heshima anayo. Hana skendo ya kuwa na mwanaume mwingine zaidi ya yule bwana.
Kwakweli jamaa amepata mke aisee
Ila lazima ujue nyumba ili isimame imara kuna mchango mkubwa sana wa mama. Mwanamke lazima ajitoe kuhakikisha familia yake inasimama na hii ni toka enzi.