Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,348
Sio kweli Kuna ndoa Ina miaka 30 na wote wazaramo.
Longa kuusindila ulongo. Chonde chonde mweyago nochola Maneromango ukae!
Nami ndio kinanishangazaWale wanacheza uchi kwenye ndoa zao so ni kama wanailaani ndoa yenyewe...
Halafu wale wanapenda ngoma balaa mwanamke hatulii ndani na ukimbana sana asiende kwenye ngoma zao anadai talaka, elimu hawataki kusoma wala kusomesha watoto wao
Tegemea midundo heavy
Yani sahivi imekuwa ni kutafuta mabinti ambao wamelelewa vizuri katika familia zao. Maana watoto wengi waliokulia katika maisha ya ajabu ndio majangaUko sahihi ,hali ni mbaya sana kwa kizazi hiki,ndoa imekuwa ni kama kushindana flani hivi,kila mtu ndani ya nyumba ni mbabe,ila kuna wachache sana waliolelewa vizuri na wazazi wao,pamoja na kuwa wana shule zao za kueleweka wanatimiza wajibu wao kama wanawake,ni full kuheshimiana mpaka inatia raha na ndoa zao zina amani....
Neno ulilotumia halileti ladha kwenye forum yenye watu wastaarabu,ungetumia neno lenye maana kama hili lisilo na ukakasi bado ungeeleweka,haya tuendelee,hiyo kisawasawa sasa ni kivipi!ili utusaidie wanaume wenzio kama kweli unafikiri inasaidia,unachopaswa kujua ni kuwa ndoa ni zaidi ya hilo jambo,unaweza ukawa unafanya hilo jambo hivyo unavyosema wewe lakini mengine yakakushinda,hapo bado usitegemee amani mkuu...Tombeni wake zenu kisawasawa.
😂 😂 😂 😂SUBIRI KIDOGO