Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Siku hizi ndoa imeingiliwa na usasa na ujuaji mwingi hasa hasa hawa dada wamekuwa wajuaji sana
 
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa 🤣🤣🤣 unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
wino wa gold kaka! salute!
 
mkuu manyanyaso hayo yamejificha kwenye mfumo dume, wanaume wachache wasiouendekeza mfumo dume ndo hupendelea kuoa ke wasomi na wenye ajira
Hujajibu swali langu lakini
 
Hujajibu swali langu lakini
hatuoni raha mkuu bt mfumo dume ndo chanzo cha yote, mfumo dume umempa mamlaka yote ndoani mwanaume na kumfanya mwanamke duni na mtumwa wa mwanaume ndoani
 
mkuu wengi wanaogopa kuwaoa wanawake waloajiriwa coz hawapo tayari kunyanyasika, ukimnyanyasa tu anayo option ya kuendelea nawe au kuachika tofauti na wamama wa nyumbani ambao unaeza wanyanyasa na wakaendelea vumilia
Huo ni uchizi yani uoe mwanake hafu umnyanyase?
Kinachopingwa ni madai yao ya usawa huku wakijua wazi wana vipindi vya likizo ya lazima
 
hatuoni raha mkuu bt mfumo dume ndo chanzo cha yote, mfumo dume umempa mamlaka yote ndoani mwanaume na kumfanya mwanamke duni na mtumwa wa mwanaume ndoani
Haya sawa
 
mkuu wengi wanaogopa kuwaoa wanawake waloajiriwa coz hawapo tayari kunyanyasika, ukimnyanyasa tu anayo option ya kuendelea nawe au kuachika tofauti na wamama wa nyumbani ambao unaeza wanyanyasa na wakaendelea vumilia
basi mi tofauti.mimi sipendi ile anajihimu kazini anarudi amechoka unataka game anakwambia mara amechoka mara kesho anatakiwa awahi ofisini.mara amesafiri kikazi siku nne.mimi siwezi date na mwanamke anayefanya kazi never
 
Back
Top Bottom