Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Wahindi na Wachina bado wako katika mstari wa mila kuhusu maisha ya ndoa. Mke anafanya kazi na mshahara wote wanaupangia matumizi na mume wake. Kuna budget ya kununua nguo mara mbili au tatu kwa mwaka.

Ndoa nyingi zinafeli, hela ya mke ni ya kununulia handbag na vipodozi wakati mume wake anashindwa hata kulipa ada ya watoto.
 
Wanawake wengi ni wajumbe,wanakula huko huko na nguo wanapewa pia hawahangaiki na familia zao
 
Kwaiyo mkuu kwa maelezo yako...wanawake ndo sababu ya ndoa kuvinjika.

Kusoma kwao na kuwa na kipato na kushika madaraka ndio inachochea ndo kutodumu?
Shida sio kusoma wala shida sio madaraka ila shida ni utii wa mamlaka!

Mfumo wa zamani ulienforce mwanamke kuwa submissive na kutii mamlaka ya mume. Hii ilisaidia kujenga nidhamu ya mama na watoto katika kujenga familia bora na hata kupunguza migogoro. Pia ilipelekea hali ya uvumilivu na utulivu maana mwanamke aliishi katika misingi ambayo mume anataka.

Shida iliopo sasa ni ile hali ya mwanamke kujiamulia anachojisikia awe ameolewa au la. Hataki kufuata maagizo ya mume bali anataka washindane...ataskia ambayo yana favor kwake yasio na favour anakomaza shingo. Mzee wangu kuna kauli anaitumiaga "Kamanda ni mmoja tu" meaning mtoa amri ni mwanaume tu na zifuatwe sio unatoa amri mtu anaanza kuhoji hoji.
 
Padre William Ruwaichi Mkurugenzi wa Elimu Jimbo Katoliki Moshi Taarifa zako za kuwa na mtoto wa kiume anayesoma kidato cha pili katika moja ya shule zilizopo chini ya Kanisa katoliki Jimbo la Moshi tunazo.

Umezaa na nani ,mtoto anaitwa nani na yuko wapi na nani unamtumia katika masuala yote ya kumlipia ada na mahitaji mengine tutaziweka hapa muda si mrefu
 
Shida sio kusoma wala shida sio madaraka ila shida ni utii wa mamlaka!

Mfumo wa zamani ulienforce mwanamke kuwa submissive na kutii mamlaka ya mume. Hii ilisaidia kujenga nidhamu ya mama na watoto katika kujenga familia bora na hata kupunguza migogoro. Pia ilipelekea hali ya uvumilivu na utulivu maana mwanamke aliishi katika misingi ambayo mume kaijenga.

Shida iliopo sasa ni ile hali ya mwanamke kujiamulia anachojisikia awe ameolewa au la. Hataki kufuata maagizo ya mume bali anataka washindane...ataskia ambayo yana favor kwake yasio na favour anakomaza shingo. Mzee wangu kuna kauli anaitumiaga "Amiri jeshi ni mmoja tu"
Ukweli daima haupendeki!!
Ukweli ni uchungu pia...!!
Ukweli ni huu hapa.. tunakula haramu nyingi kuliko halali... Maisha ya sasa ni kuingiza haramu ndani ya Trumbo ilimradi umekula, umelisha familia, umewavisha umewahudumia umesomesha watoto kwa Mali ya haramu!!!
WHAT do you expect.?
Mungu tusamehe...
 
Huko ni kutesa watoto.
Ni kweli ila sasa watu wamechoka, taasisi ya ndoa inapoteza maana kila kukicha maana wanawake ambao ndio akina mama wanakataa kuishi katika misingi ya asili. Wamekuwa miiba kwa kukumbatia idea ya kushindana na mamlaka ambayo ni mume badala ya kuwa watiifu na washauri wazuri.
 
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa 🤣🤣🤣 unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
Muoe rafiki yako wa kike mliyeshibana. Kama huna, na hujakuwa na utamaduni wa kuwa na urafiki na wanawake, basi jaribu vijijini.
 
Ni lini ambapo changamoto za ndoa hazikuwepo?

Changamoto zilikuwepo tangu enzi na enzi sema siku hizi watu hawana uvumilivu. Yani hata mambo ya kucheat yalikuwepo sana tu ila watu walivumiliana na kufichiana siri.

Siku hizi mtu akipata msukosuko kidogo tu anatishia amani.
Ni kweli ila sasa watu wamechoka, taasisi ya ndoa inapoteza maana kila kukicha maana wanawake ambao ndio akina mama wanakataa kuishi katika misingi ya asili. Wamekuwa miiba kwa kukumbatia idea ya kushindana na mamlaka ambayo ni mume badala ya kuwa watiifu na washauri wazuri.
 
Wengi wanaoingia kwenye ndoa huwa hawapo serious, wanaingia kwa kujaribisha na zaidi ya yote wengi wao wanakuwa wanataka tu na yeye atengeneze ile video ya kuonekana kwenye kipindi cha CHEREKO ili kujibu mapigo ya rafki zake! Lakn wakianza maisha vurugu tupu, raha ya ndoa hakuna kabisa!
 
Ni lini ambapo changamoto za ndoa hazikuwepo?

Changamoto zilikuwepo tangu enzi na enzi sema siku hizi watu hawana uvumilivu. Yani hata mambo ya kucheat yalikuwepo sana tu ila watu walivumiliana na kufichiana siri.

Siku hizi mtu akipata msukosuko kidogo tu anatishia amani.
Ni kweli ila kwani tunazungumzia kucheat au gender balance ilivyokuja kuwapa viburi wanawake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaoingia kwenye ndoa huwa hawapo serious, wanaingia kwa kujaribisha na zaidi ya yote wengi wao wanakuwa wanataka tu na yeye atengeneze ile video ya kuonekana kwenye kipindi cha CHEREKO ili kujibu mapigo ya rafki zake! Lakn wakianza maisha vurugu tupu, raha ya ndoa hakuna kabisa!
Wanawake ndo wanashindwa kutofautisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni lini ambapo changamoto za ndoa hazikuwepo?

Changamoto zilikuwepo tangu enzi na enzi sema siku hizi watu hawana uvumilivu. Yani hata mambo ya kucheat yalikuwepo sana tu ila watu walivumiliana na kufichiana siri.

Siku hizi mtu akipata msukosuko kidogo tu anatishia amani.
Ila lazima ujue nyumba ili isimame imara kuna mchango mkubwa sana wa mama. Mwanamke lazima ajitoe kuhakikisha familia yake inasimama na hii ni toka enzi.

Kuna nyumba ambazo baba walikuwa walevi mmbwa ila leo hii watoto ni mainjinia na madaktari na wanasaidia wadogo zao na familia kwa ujumla. Unafikiri haya yaliwezekanaje?

Mama alifunga mkanda haswa kwamba lazima nyumba yake isimame imara. Upendo na uvumilivu wa hali ya juu na kuchukuliana madhaifu ila still heshima ya baba ilikuwepo pale pale. Ila leo ni wanawake wangapi wanaweza kuishi na mume mlevi mmbwa?
 
Back
Top Bottom