Maisha ya ndoa kugeuka laana

Maisha ya ndoa kugeuka laana

tungatagaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2024
Posts
646
Reaction score
858
Nimegundua hivi karibuni kupitia jukwaa hili Mikasa inayowakumba wanandoa.Tunaona ndoa nyingi zikivunjika na hata kusababisha vifo bila sababu za maana.Kitu Gani kinatokea?
1 kwa mtazamo wangu ndoa haziandaliwi kabla ya kufungea.
2 Wanandoa hawajui kwamba ndoa ni uchaguzi wa kuingia katika ulimwengu mwingine tofauti na ule walikuwa nao wakati wa kudate
3 Wanandoa wengi na hasa vijana wa kiume tamaa Yao kubwa ni huduma ya kitanda zaidi kuliko maisha na mwenzi wake
4 Kubwa zaidi ni kule kufanya tendo kabla ya ndoa.Mtu wa Mungu mmoja alisema kitendo hiki humfanya kijana kupoteza hamu ya tendo la ndoa mapema ktk maisha ya ndoa.
Nini kifanyike?
Vijana walelewe katika misingi ya dini.Sisi sote tulifanya makosa haya yakudhani kuoa ni kupata huduma ya kitanda na mengine baadaye.Hapana ni kujenga katika jamii katika upendo.Huduma ya kitanda huja yenyewe kwa kuheshimiana kama mume na mke.Na kama mlioana wote mkiwa mabikira kuachana kutatokea wapi?
 
Hamna kitu, mtaongea mambo mengi sana ila ukwel ni kuwa, katka ndoa mkianza kupishana malengo na kauli tu, tayal mmekwisha lazima watu watawasikia tu!

Kitu Gani kinafanya mpishane.Bila shaka hamko pamoja na kama hamko pamoja hamuwezi kuridhiana ktk mambo mengi
 
Vijana walelewe katika misingi ya dini.
Dini ipi? Kuna dini inahubiri toka utoto kuwa mwanaume ni supreme, anaruhusiwa kuoa wanawake 4 at a time. Dini inahubiri talaka kama baraka, dini inahubiri taraka rejea.
Dini inahubiri kiwa wanawake ni sex objects, they are there for men's leisure!
 
Nimegundua hivi karibuni kupitia jukwaa hili Mikasa inayowakumba wanandoa.Tunaona ndoa nyingi zikivunjika na hata kusababisha vifo bila sababu za maana.Kitu Gani kinatokea?
1 kwa mtazamo wangu ndoa haziandaliwi kabla ya kufungea.
2 Wanandoa hawajui kwamba ndoa ni uchaguzi wa kuingia katika ulimwengu mwingine tofauti na ule walikuwa nao wakati wa kudate
3 Wanandoa wengi na hasa vijana wa kiume tamaa Yao kubwa ni huduma ya kitanda zaidi kuliko maisha na mwenzi wake
4 Kubwa zaidi ni kule kufanya tendo kabla ya ndoa.Mtu wa Mungu mmoja alisema kitendo hiki humfanya kijana kupoteza hamu ya tendo la ndoa mapema ktk maisha ya ndoa.
Nini kifanyike?
Vijana walelewe katika misingi ya dini.Sisi sote tulifanya makosa haya yakudhani kuoa ni kupata huduma ya kitanda na mengine baadaye.Hapana ni kujenga katika jamii katika upendo.Huduma ya kitanda huja yenyewe kwa kuheshimiana kama mume na mke.Na kama mlioana wote mkiwa mabikira kuachana kutatokea wapi?
Ombi langu kwa serikali, ilahisishe kutoka kwenye ndoa, kwa wanandoa, wanapokutana na kufunga ndoa, serikali inakuja kurasimisha tu, ila wanapotaka kuachana, wanaambiwa mpaka ruhusa ya serikali! Ni Bora mkishindwana, unaenda zako wilayani, unasema sitaki ndoa vintage hii, fasta, mwenza anatumiwa ujumbe tu,
Kuhusu mali, kila mtu awe na za kwake, mkishirikiana, iwe kwa maandishi,
 
Una hoja, ila mambo ya hiia hayawezi kuwa marahisi hivyo
 
Nimegundua hivi karibuni kupitia jukwaa hili Mikasa inayowakumba wanandoa.Tunaona ndoa nyingi zikivunjika na hata kusababisha vifo bila sababu za maana.Kitu Gani kinatokea?
1 kwa mtazamo wangu ndoa haziandaliwi kabla ya kufungea.
2 Wanandoa hawajui kwamba ndoa ni uchaguzi wa kuingia katika ulimwengu mwingine tofauti na ule walikuwa nao wakati wa kudate
3 Wanandoa wengi na hasa vijana wa kiume tamaa Yao kubwa ni huduma ya kitanda zaidi kuliko maisha na mwenzi wake
4 Kubwa zaidi ni kule kufanya tendo kabla ya ndoa.Mtu wa Mungu mmoja alisema kitendo hiki humfanya kijana kupoteza hamu ya tendo la ndoa mapema ktk maisha ya ndoa.
Nini kifanyike?
Vijana walelewe katika misingi ya dini.Sisi sote tulifanya makosa haya yakudhani kuoa ni kupata huduma ya kitanda na mengine baadaye.Hapana ni kujenga katika jamii katika upendo.Huduma ya kitanda huja yenyewe kwa kuheshimiana kama mume na mke.Na kama mlioana wote mkiwa mabikira kuachana kutatokea wapi?
Suluhisho sio Dini bali Wokovu. Hata wanaowafanyia wenzao unyama wana Dini pia. Tena wamekuwa busy na dini zao tangu utoto wao lakini lililo la hakika ni hili;

HAKUNA DINI INAYOWEZA KUMJENGEA MTU STAMINA YA KIROHO YA KUWEZA KUZITAWALA TAMAA ZA MWILI NA UBINAFSI. HILI HATA VIONGOZI WA DINI WENYEWE LIMEWASHINDA!.

Nafsi ya mtu ambayo haijakombolewa inaweza kuwatendea wengine unyama wowote wakati wowote!.

Wokovu ndio unaochochea uhai wa Dhamiri ya mtu. Dhamiri ya mtu ikifa mtu huyo hugeuka kuwa mnyama hatari sana!.

YOHANA 8
24 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.

1 YOHANA 3
8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi.
 
Back
Top Bottom