Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Wahindi na Wachina bado wako katika mstari wa mila kuhusu maisha ya ndoa. Mke anafanya kazi na mshahara wote wanaupangia matumizi na mume wake. Kuna budget ya kununua nguo mara mbili au tatu kwa mwaka.

Ndoa nyingi zinafeli, hela ya mke ni ya kununulia handbag na vipodozi wakati mume wake anashindwa hata kulipa ada ya watoto.
Hiki kitu mi sikipendi asee

Siwezi muacha mume wangu ateseke mwenyewe Wakati na mi nafanya kazi, sasa hiyo kazi ina umuhimu gani kama sisaidii majukumu home? Si bora niache niwe full usimamizi kwa wanangu
 
Padre William Ruwaichi Mkurugenzi wa Elimu Jimbo Katoliki Moshi Taarifa zako za kuwa na mtoto wa kiume anayesoma kidato cha pili katika moja ya shule zilizopo chini ya Kanisa katoliki Jimbo la Moshi tunazo.

Umezaa na nani ,mtoto anaitwa nani na yuko wapi na nani unamtumia katika masuala yote ya kumlipia ada na mahitaji mengine tutaziweka hapa muda si mrefu
Kumekucha

Padre Willy jiandae[emoji16]
 
Mkuu upo sahihi kwa upande mmoja kwamba wapo wanawake baadhi wasiojielewa,kuridhika,Ambao sio wavumilivu ndoani..Ila Tukija upande wa pili wa shilingi sasa hivi kuna tatizo lipo kubwa sana kwa wanaume wetu sikuhizi..sio wavumilivu,sio wasiri,sio wahangaikaji!yaani unakuta mwanaume yupo yupo tu!hajui watoto nyumbani wamekula nini wala shule Wameendaendaje!

Haiwezekani mimi mwanamke nilishe watoto ndani,nikulishe na wewe pia!nilipe bills zote za familia huku wewe pesa zako unatumia kwa matumizi yako binafsi halafu unataka nivumilie huo ujinga huku nikikutii na kukuheshimisha[emoji23]hiyo haipo!!

Mama zetu walivumilia kwakua hawakua na Kazi,Elimu na Hali ya maisha ilikua Ngumu sana nyumbani hivyo hawakua na pakukimbilia ilibidi wakomae tu maujinga ya Baba zetu!

USHAURI
Mwanaume kama unajijua wewe ni wa hovyohovyo katika kulea familia na ndoa basi nakushauri nenda kaoe mwanamke kijijini saaana!ambae hajasoma na kwao wote ni maskini wa kutupwa hata kula Yao ya shida,huyo ndio unaweza ukadumu nae maana akifikiria kurudi home atapata ukakasi!!ila Hawa wanawake wa mjini wenye kazi au biashara,waliosoma na wanaojielewa wallah kama mwanaume hujajipanga kiakili na kimaadili basi huwawezi!

Ndoa ni yetu wawili hivyo tuilinde,tuiheshimu na kuitetea wote hakuna upande unaopaswa kufanya maovu halafu upande mwingine uwe Unapaswa kuvumilia tu na kufa na tai shingoni!ni penzi letu hivyo wote tulipambanie[emoji108]
 
Hiki kitu mi sikipendi asee

Siwezi muacha mume wangu ateseke mwenyewe Wakati na mi nafanya kazi, sasa hiyo kazi ina umuhimu gani kama sisaidii majukumu home? Si bora niache niwe full usimamizi kwa wanangu
Hahahah unamaanisha usemalo au ndo changamsha genge?
 
Hahahah unamaanisha usemalo au ndo changamsha genge?
Best mbona huniamini asee

Unakuwa kama hauto.mb.i( nimegeuza like tusi lako lililopata umaarufu humu jf) [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16] we jamaa una mitusi balaa[emoji16][emoji28]
 
Watu wanaoa malaya alafu wanategemea ndoa kudumu.

Oa mwanamke mwenye bikra kisha njoo unipe mrejesho
 
Best mbona huniamini asee

Unakuwa kama hauto.mb.i( nimegeuza like tusi lako lililopata umaarufu humu jf) [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16] we jamaa una mitusi balaa[emoji16][emoji28]
😂Hujasahau tu kumbe! Hayo yapo library tu maalum kwa wazinguaji bange. Usiogope lakini!
 
Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.

Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.

Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.

Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.

Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.

Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.

Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?

Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!

Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
Everything in life evolve...


Ndoa is going to be outdated and sooner or later itabaki historia tu


Tunapoelekea kutakua na mahusiano with mutual agreement, mnaweza ku-date kila mtu akiwa kwake with his/her life mkichokana everybody move on...

Mkitaka kuzaa watoto mnakubaliana malezi mnafanyaje ikiwa kila mtu anaishi kwake na maisha yake,haya mambo ya kugandana gandana mpka kifo kiwatenganishe .. yashapitwa na wakati na yana kelele nyingi mara wanawake this wanawake that
 
Nimeona mahakamani kesi zandos nyingi vijiweni watu wanaleeewa mpaka basi ukimuuliza.achatu mwanangu wife anazingua baraaa.jera kuna wana wamepelekwa na wake zao shida nini???
 
Wahindi na Wachina bado wako katika mstari wa mila kuhusu maisha ya ndoa. Mke anafanya kazi na mshahara wote wanaupangia matumizi na mume wake. Kuna budget ya kununua nguo mara mbili au tatu kwa mwaka.

Ndoa nyingi zinafeli, hela ya mke ni ya kununulia handbag na vipodozi wakati mume wake anashindwa hata kulipa ada ya watoto.
kwa hiyo wanaume wa kichina/kihindi ni wanaume suruali
 
Very simpoooo... Wapigeni muwa wake zenu kisawasawa.

Wapendeni... Wajali, wasikilizeni. Wachukulieni kama sehem ya mwili wenu na madogo madogo kama hayo!!!



Achen namambo ya Kuwapa Pesa wakat huohuo Mnawanyanyapaa na kuwanyanyasa sababu tu mnawalisha,nawavisha n.k


Kwa dunia ya leo ambayo wanawake sasa wameamua kua na uchumi wao wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtalalamika kila siku....mwanamke hupenda na hatomuacha mwanaume anayemfanya ajisikie Malikia.
 
Back
Top Bottom