Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

You made my day...! Mbavu zangu mie...!Haya baba Lowassa Fisadi Mkuu wa TZ...!
 
eti ninini lowassa huyu huyu akemee ufisadi?hebu acheni kejeli hapa.
 
Jamani hebu tuacheni unafiki hivi kweli lowassa ni mtu wa kukemea rushwa?
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.
Mzee wa watu analishwa maneno yanayoweza kumpandisha kisukari bure ! Tangu lini lowasa ( fisadi aliyethibitishwa na bunge , kwa mujibu wa HANSARD ) akakemea ufisadi ?
 
Lowassa asipo kuwa makini Membe na mshirika wake Riziwani wata mtoa uhai.
 
Hivi naota au? Huyu huyu rich monduli kasema? Hapana mtakuwa mnamsingizia. Nijuavyo mm fisadi hawez kukemea rushwa.
 
Huyu sas anataka kuharibu km unakemea Rushwa na Ufisadi hatukuchagui sis wana CCM tunataka mambo hayo na ww unakemea vp tena bwana mkubwa mbona una haribu?
 
Aangalie asije akamfuata mwenzake Msituni maana ile ya kumwaga ugali mie nimwage mboga this time won't work.
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.[/QUOT

Lowasa ni boya tu. Asihangaike kwa lolote. hana maadili wala personalities za kuwa Rais.

hii ni post ya Pasco . ndo maana kawa wakwanza kui'like. Perhaps ni account yake nyingne.

Pole sana Luwatha.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la ushabiki wakisiasa hupofusha macho na uelewa.kama lowasa si mwizi wa richmond kwann alificha wezi?si mzalendo
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Double Standard!!
 
Msamehe mheshimiwa ulimi ulitereza tu hakukududia.
 
Back
Top Bottom