kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????
Ndo siasa za bongo! Full comedy!
kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????
Huyu mleta mada amevurugwa.kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????
Ni kweli ila siyo kwa Lowassa. Hana na hapaswi kuwa naujasiri huo.Ndo siasa za bongo! Full comedy!
kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????
Lowassa akithubutu kutamka hayo mnikate vidole vyote.
Huyu mleta mada amevurugwa.
Ni kweli ila siyo kwa Lowassa. Hana na hapaswi kuwa naujasiri huo.
Kwa hiyo akitamka mtafanyaje? Mtampa nchi?Nadhani mleta mda anataka kujaza comments zetu tu hapa kwenye saver..ila Mh. Lowasa hajawahi na hatawahi wala kuweza kukemea ufisadi hata mara moja. Na ikitokea mmh atakuwa kasemewa sio yeye.
Ni kweli ila siyo kwa Lowassa. Hana na hapaswi kuwa naujasiri huo.
Ni kweli ila siyo kwa Lowassa. Hana na hapaswi kuwa naujasiri huo.
Kwa hiyo akitamka mtafanyaje? Mtampa nchi?
Lowassa yupi?