Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Teteeeee... magamba dhamira zao zilishakufa gazi....fisadi ampinge fisadi? Hata jk alikuja na hiyo 'gear'. Sasa dalili zinaonesha ikulu pango la wanyanganyi....

Hatudanganyiki!
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

He must begins with HIMSELF.
 
Kwa hiyo akitamka mtafanyaje? Mtampa nchi?

Lowasa katika vitu vyote kinachomnyima sifa ni kushindwa kukemea Rushwa kwa dhati au ufisadi.Lowasa hayo matatizo hayamhusu.Na ndiyo matatizo makubwa ya nchi hii,,WIZI,RUSHWA na UFISADI.sasa hajishughulishi na hayo halafu anataka Urais.
 
Ha ha ha! Muuza pombe akemee wanywaji au walevi wasije bar ama glossary yake!
 
Arudishe kwanza mamilioni ya maskin wa bonde la makutupora aliowahamisha eti kupisha vyanzo vya maji na kuwapa laki moja moja alipokuwa waziri wa maji.
 
jamani watanzania wenzangu tujitahid kukumbuka na kutafakari la ya richmond na tusisikilize kelele za wanasiasa,anachukukizwa na lipi ambalo yeye hakulifanya?kelele hizo ni harakat za kuingia ikulu,na kwa ukweli na ikulu yetu ya Tz haina nafasi ya mafisadi tena tumechoshwaaaaaaa,
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Hao wapambe wameanza kumlisha maneno father wao.
 
lowasa alileta sera ya elimu bure kikwete kaichukua kaitekeleza inaanza 01/07/2015 lengo ni kumnyima sera ya kupigia kampeni.sasa kahamia kwenye ufisadi
 
Lowasa amesoma sababu zake za kukataliwa na wananchi hapa JF wakidai hjawahi kuonyesha kukerwa na rushwa na ufisadi. Labda ajikemee yeye kwanza!.

Yuko tu sawa na dc makonda aliyechukua mawazo yetu hapa mtandaoni ya kulaani vifo vya watu kutokana na sheria ya pF3 kuwa vituo vya polisi badala ya HIZO FORM ZA PF3 KUWA HOSPITALINI AMBAKO MAJERUHI WANAPASWA KUKIMBIZWA HARAKA ILI KUOKOA MAISHA!.

Sasa mtaona tukisema Lowasa ni mnafiki tuna maana gani!.

Napo hatumchagui, hata afanyeje!. Asubiri october tunamwajibisha hadi richmond kieleweke!.
 
Kw usafi upi alionao EL asimame kukemea ufisadi? Yatampata yale ya Kinana na tembo wetu!
chonde ucmtaje kinaa tembo wakisikia hilo jina la kinana wanaanguka kwa hofu kawaua kwelili
 
Back
Top Bottom