Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Ndani ya CCM unakemea UFISADI? Watu wanapiga deal ndani ya Ikulu, wenye kujinadi kuwa wao ni wasafi ndo wezi wakubwa tena wengi wao wako kwenye Cabinet!!! Lowassa kukaa kimya kunawafanya Jamaa wamuogope na wako tayari kuwaachia CHADEMA na Ukawa nchi kuliko Lowassa... Wamemshughulikia Komba huku wao wakigawana ngawira za ESCROW live bila Chenga .. Lowassa mbona hayuko kwenye List ya EPA, ESCROW, Mikataba ya Madini, Wauza Sembe??? ... Angalia mambo kiundani kiuhalisia kabla ya kuropoka ndugu ... JKN mwenyewe alizimishwa baada ya kuja kuujua ukweli...

Ha! Mkuu kumbe Komba kashughulikiwa! Hebu funguka vizuri, alikuwa na siri gani nzito hadi ashughulikiwe?
 
Naomba niletewe ripoti ya PCCB inayomtaja Lowasa kwenye rushwa ya Pesa na kiwango cha Pesa alichopewa.

Lakini kama ni ile ripoti ya Mwakyembe inayosema kwamba aliandika kimemo cha kusisitiza kuwa maelekezo ya serikali ya kuipa Richmond tenda ya kuzalisha umeme basi EL aendelee kufanya na kusema yale anayoona kuwa yanafaa kwa jamii.
Majungu hayatoisha kwenye siasa za maji taka.
Rushwa haikemewi tu bali inashughulikiwa na mtu yeyote jasiri.
CCM wanamchukia Lowasa sio kwa sababu ya rushwa bali kwa kuwa wanamjua hana muda wa kuremba wababaishaji kwenye utendaji.Kazi kazi tu.
Sio wakina fulani wako serikalini badala ya kumkamata wampekeke mahakamani ili ahukumiwe kama kweli ni fisadi eti nao wanalalamika. Huu ndio unafiki.
Tunataka sera sio matukio ya kisiasa.
Mwigulu yuko wapi na Zito Kabwe wawafundishe wanasiasa wa tanzania kujenga hoja na sera badala ya kufafuana kwa tamaa za madaraka.
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Aliyekwambia atakuwa KAVURUGWAA! Lowasa tunayemjua kamwe hawezi tamka hayo maneno hata kwa sekunde moja!maana ktk top 5 ya wala rushwa na mafisadi jamaa anashika namba 2 akitanguliwa na mzee wa vijisenti! na ndio maana hata wakati wa msuguano bungeni wa wabunge kuhusu sakata la escrow LOWASA hakuchangia chochote alikuwa kimya kana kwamba lugha iliyokuwa ikitumika ni lugha asiyoijua kama vile KICHINA! Yaani huyu jamaa ni sawa na Katibu mkuu wa CCM kumsikia akikemea UJANGIRI! Kama kuna mtu amewahi kumsikia,atupe ushahidi hapa jf!
 
Kwa hiyo akitamka mtafanyaje? Mtampa nchi?

hata awamalize albino nchi nzima,Lowasa kamwe hawezi kuwa raisi wa nchi hii kwa sasa! wengi tumeshajitambua kasoro waendekeza njaa kina lizabon,shonza na vibaraka wengine!
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Du shetwain kachoka kuishi jehunum!!!!!
Strange , very strange.......!!!!
 
Jamani tusiwe wanafiki wa fadhila lowassa ndie anatufaa kuwa rais wetu hayo mengine ni majungu yanapiga watu wanakuwa nA aje da zao wanamwangushia mtu zari yanapita hiyo ilikuwa ajali yA kisiasA ilipita tuanze upya jamani bila edo hakuna rais mmesahau?
 
Rais wa band gani? Mashujaa, Ngwasuma, twanga pepeta, mapacha watatu au!
 
Jk ndio anafaa kukemea rushwa

hata jk hawezi! wote ni walewale tu! kama alimwomba AnnaTibaijuka kuachia kiti badala ya kumwajibisha na huku akimweka kiporo Werema,utasemaje anafaa kukemea? all failures to take actions!
 
nani alithibitisha kwamba kaiba??muulizeni mwenyekiti wake kuhusu Richmond kama mtapata majibu!MZEE wa watu hajasema chochote kazi kumuhukumu tu kwa choyo na wivu!chama kinajua nani kitamsimamisha kwa maslahi ya taifa hivyo tuwe na subira!
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Bila shaka amekasirishwa sana na u-escrow, u-richmond, u-takrima, n.k.
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

Pole naona unawashwaaaa! Na habari yenyewe umeiweka kiumbea Sana!
 
Kama hujui rushwa mtazame Edward ngoyai Lowasa, rushwa ina nywele nyeupe

Kama ulivyo mjinga! Kwa hiyo babu yako kaota nywele nyeupe anamuibia mama siyo? Njoo na hoja na siyo mambo yasiyo na msingi!
 
Lowassa match forward with speed and zeal. It seems wanatumia Sana nguvu na kuumiza vichwa vyao kukufikiria! Your will power will forever be a torture to your political adversaries!
 
Back
Top Bottom