Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

Hakuna kitu anachokichukia Lowassa kama rushwa..... Nafkiri unakumbuka alivyowashughulikia wakurugenzi wala rushwa alipokuwa PM

kweli mkuu El ni jembe lisilipenda ufisadi yeye pamoja na best zake CHENGE, ROSTAM, KARAMAGI N.K
tuwape sapoti.
 
kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????

Yeye mwenyewe ananuka rushwa na ufisadi , aanze kujikemea mwenyewe na kusalimisha Mali zake zilizotapakaa nchini kwa tume ya maadili ya viongozi wa umma
 
Lowasa akiwa Waziri Mkuu hakuwahi hata siku moja kukemea Rushwa si nje ya bunge wala ndani. Leo hii atatoa wapi neno la rushwa. Msinivunje mbavu zangu
 
kweli mkuu El ni jembe lisilipenda ufisadi yeye pamoja na best zake CHENGE, ROSTAM, KARAMAGI N.K
tuwape sapoti.

Kweli Bhana! Rais Lowassa, Waziri mkuu Chenge, Waziri wa Fedha Bashe, Karamagi Maliasili, Madini malizia nimesahau team wasafi wengine! Rostam Katibu Mkuu CCM....
 
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.

km yy ni muadilifu asingeweza kuvumilia kukaa kwenye chama cha watu dhalimu kiasi icho, angeshaacha icho chama au hata kuacha siasa
lakini naamini anawajua viongozi wenzie jinsi wanavoishi kidhalimu a to z..
.anawezaje kuchangamana nao?
na anajua washakuwa adicted?
yy naye lazima iyo roho ya wizi imemwambukiza au la kazoea ni kitu cha kawaida ndio maana yuko nao chamani

handanganyi mtu yeyote ambae yuko chama tawala na sina imani nao hata iweje awe magufuli ,lowasa, mchemba wote walishakunywa damu ya kijani so wanajua madhambi ya ndani ya chama a to z lkn hawaondoki chamani..
so huo ni unafki tu na sela ya kulindana

naam
 
Lowasa akiwa Waziri Mkuu hakuwahi hata siku moja kukemea Rushwa si nje ya bunge wala ndani. Leo hii atatoa wapi neno la rushwa. Msinivunje mbavu zangu

Hata kwenye Escrow kwani hukumsikia????
 
Duuh..leo nimepita mtaa fulani nikaona mwizi anakimbizwa na wananchi kilichonishangaza wale wananchi hawasemi;mwizi huyoo!!mwizi huyoo!badala yake wanasema CHENGE HUYOOOO!!CHENGE HUYOOOO mkamateni chenge huyooo..duh
 
Ha ha ha! Kamata Chenge men! Oh mama!
 
Kweli Bhana! Rais Lowassa, Waziri mkuu Chenge, Waziri wa Fedha Bashe, Karamagi Maliasili, Madini malizia nimesahau team wasafi wengine! Rostam Katibu Mkuu CCM....

hapo tz itakuwa nchi ya asali nz maziwa.
 
W mleta mada soma majira ya nyakat usiishi kw kufuata mkumbo Lowassa kw sasa ndo anaekubalika kuliko wagombea wote wanaotajwa ana kujitangaza,"Lowassa n tumaini la watanzania walio wengi"
 
Kinachonishangaza ni kuwa hawa wanaomsema EL wana ushahidi wa ufisadi alioufanya au anaoufanya?
 
W mleta mada soma majira ya nyakat usiishi kw kufuata mkumbo Lowassa kw sasa ndo anaekubalika kuliko wagombea wote wanaotajwa ana kujitangaza,"Lowassa n tumaini la watanzania walio wengi"

Tumaini la wezi, wala rushwa na mafisadi majoka yenye makengeza akina Chenge!
 
nimekukumbusha hayo ili ujue kuwa hakuanza 1995 au 2000 au 2005 au 2006-08...ni mtu makini mchapa kazi na mpenda kazi...Kila apandaye atavuna...
 
mkuu, twende mbele na kurudi nyuma. kuna watu wamekuwa wazuri sana kukemea ufisadi kwenye majukwaa lakini vitendo vyao vimekuwa haviakisi wanachokihubiri asilani.

few names spring to mind but the picks of the day are BWM & JK who have been the trusted occupants of the highest office (one of them was actually christened a "mr clean"!).

tatizo si Lowasa, sote tunajua kiini cha tatizo ni nini. yes, tunajua. this is food for thought (UKAWA).

twende mbele na kurudi nyuma...
hapa unataka kumaanisha nini ? nani kakudanganya kwamba kushirikiana na wengine kuiba au hata kama unaiba kwa vile wengine waliiba utakuwa salama ?
 
Back
Top Bottom