kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Last edited by a moderator:
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.
Mbona hatujamwona bungeni akijenga hoja hiyo wakati wa escrow! Amekumbuka shuka kumekucha.
kweli maisha bila unafiq hayaendi!!!
yani lowasa wakukemea rushwa?????
Haa ha ha...nadhani kwenye hiyo press conference yake ataongozana na rafiki zake Chenge na Rostam Aziz wakikemea juu ya ufisadi na ukiukaji wa maadili ya viongozi ulioenea nchini.
Akapimwe akili
Ameamua kujipanga kukemea hadharani wale wote wanaojihusisha na rushwa na ufisad. Amedai kuwa wanalitia aibu taifa letu.
Hiyo nimeipata kutoka kwa wapambe wa Lowassa a.k.a team Lowassa kuwa mzee wao kaamua kuja na style hiyo ya kukemea rushwa na ufisadi pengine labda inaweza kumtoa kimasomaso kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 October.
Ni kweli ila siyo kwa Lowassa. Hana na hapaswi kuwa naujasiri huo.
Bila kumsahau bibi bomba wa kihaya mamaa wa mboga ya milioni 10 prof. Tibaijk