HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,317
- 103,579
Kweli kabisa mkuu 100% nimewatoa sita kwenye simtank langu nilipo angalia chini ya maji nimekuta mavi yao kibao dah hawafai!!
Nimewatoa nimewatupa mbali
Ndio maana simtank zatakiwa safishwa kila mara yaani unamwaga maji yote unatumia bleaching agents na sabuni kusafisha na kusugua tenk afu waliosha na kufungulia maji mapya yaingie tofauti na hapo labda ununue filters za kusafisha maji kabla hayajatoka kwenye bomba