jibu ni communism, sababu ya communism, waafrika wanamilikiwa na communists and communists hate black people i.e communistss wanahitaji masikini na oppressed people hivyo ni lazima afrika iwe masikini na waafrika "waonewe" ili communism iweze kukubalika duniani.
ni rahisi kuwashawizi raia wa nchi za capitalists kwamba mfumo wao (capitalism) ni wa uonevu kwa kuwaonyesha picha za starving children in afrika angalia jinsi unavyowakandamiza africans and black people halafu wale raia ambao ni gullible wa capitalists countries wanaamini hiyo propaganda na kuanza kuuona mfumo wao wa capitalism kuwa ni unfair na kuanza kuuchukia hivyo wanaona altenative ni communism, thats how communism wins over people.
hivyo unaona kwa hiyo logic peke yake ni lazima afrika na black people wawe masikini na "wakandamizwe" ili commonism iuzike, thats why afrika na black people dunia nzima will never develop until siku wakiamka na kuona adui yao mkubwa ni communists.
hivyo kwa nini afrika ni masikini? jibu ni hilo waafrika na black people dunia nzima wanamilkiwa na communists, ni watumwa wa communist na communism inauzika tu kukiwa na poor and oppressed people, sasa hakuna anayefit hiyo defination dunia hii kama afrika na black people ...