Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,578
- 14,357
mimi ningekuwahi hukohuko😀[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hyo ingekuwa kwa binadamu.ningeishi kwa machale kweli.au ningeenda kuishi porini peke yangu.
mimi ningekuwahi hukohuko😀[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hyo ingekuwa kwa binadamu.ningeishi kwa machale kweli.au ningeenda kuishi porini peke yangu.
Bado uko online mkuu du!!Chumvi inawafanya wadehydrate. Osmosis inaitwa.
Halafu hawayeyuki ila wanakuwa wanaproduce a lot of mucus ili kujiprotect ikitokea situation kama hiyo, hicho ndo kinawafanya waonekane kama wanayeyuka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .ningekuwa na nyanyua chuma.kama cna akili nzuri.mbavu nene.sasa jichanganye.mimi ningekuwahi hukohuko😀
Siyo kweli
Wanakufa kabisa lakini, kana baki kakitu kadogo sana, hata jana nimefanya hivyo kwenye bustani yangu...Chumvi inawafanya wadehydrate. Osmosis inaitwa.
Halafu hawayeyuki ila wanakuwa wanaproduce a lot of mucus ili kujiprotect ikitokea situation kama hiyo, hicho ndo kinawafanya waonekane kama wanayeyuka.
Ni kweli kabisa yani, tafadhal msijarib, haina maana yoyoteNiliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Basi umejifunzia huku pwani, maana sie wadudu kama hawa hatutumii kabisa.Sio kweli kivipi?
Me bado nashangaa tu mkuu, hili ni zaidi ya jipya kwangu......Duh!?! Kweli???
Mie hii kwangu mpya aisee. Dunia haiishi maajabu,duh!!! Mungu ana siri ya viumbe wake
Yupo sahihi.... Amesema specific "liquid /water" molecules. Wewe umesema tu ni molecules ila hujaweka wazi ni molecules za kitu gani.Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Kumbe Nifah wewe sio mkulima, wala sio mtoto wa mkulima, nimegundua hilo kupitia comment yako hii.Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
UsiuweKwan tuliambiwa tusiue wanyama ama binadam wenzetu
Hakuna lingine kweli? Mbona maneno makali???Mbona unapotembea iwe kwa miguu au kwa gari hauinami chini ili kuhakikisha haukanyagi wadudu wadogo watambaao ardhini (sisimizi, siafu, mchwa, etc ) ili usiwaue? Uchizi sio lazima uokote makopo.
Jamaniiiiiii nimetapika ghafla we ndo nini hii tenaKonokono ute wake unatumika ...kuondoa makunyanzi usoni...na mwili mzima kwa ujumla... kwa watu wenye umri mkubwa ..
Dah mbona hivi tena mkuu?Nyama yake tamu usipime
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi mwenyewe naenda kujaribu nihakikiahe ila vitoto vyangu siviambii vitafanya kujaribu na kuchunguza maana vitoto vya magu vijuaji sana Vita nitia dhambiniNi jinai kuuwa viumbe usivyo kuwa na faida nacho, kwanza humli, hakuumi, haenezi maradhi, si mwanga kama mipaka au bundi wanavuodhaniwa, mwachie snail, wengine wakisikia watajaribu, ole nikikushika
Acha bwana, mbona konokono ni kitoweo safi tu ndugu yangu? Wenzio tunaelekea Nigeria kuchukua mbinu za ufugaji we unajipanga kuua?Itabidi nitembee nayo, hakuna mdudu simpendi km konokono. Anasababisha nisikie kichefuchefu nkimuona[emoji40] [emoji40] [emoji40]