Multiple Myeloma
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 466
- 393
Hahahah, TAH tena sina uterus aiseeMzee nick name yako tu, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tutakufanyia TAH upotee kabisa
Hahahah, TAH tena sina uterus aiseeMzee nick name yako tu, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tutakufanyia TAH upotee kabisa
Physically chumvi creates a high concentration layer on the surface of the snail hivyo water(mucus) flows to surface due to concentration gradient.Chumvi inawafanya wadehydrate. Osmosis inaitwa.
Halafu hawayeyuki ila wanakuwa wanaproduce a lot of mucus ili kujiprotect ikitokea situation kama hiyo, hicho ndo kinawafanya waonekane kama wanayeyuka.
Nini kilitokea ulipommwagia majiNiliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Unachanganya na diffusion
Ni kweliDuh!?! Kweli???
Mie hii kwangu mpya aisee. Dunia haiishi maajabu,duh!!! Mungu ana siri ya viumbe wake
Basi ukimwagia ndo kitakuzidi, maana hutoa mimaji majiItabidi nitembee nayo, hakuna mdudu simpendi km konokono. Anasababisha nisikie kichefuchefu nkimuona[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Daah, 😡😡Ana double ya protein unayoipata kwa kula nyama ya ngo'mbe
mmmm, hapo hata nyongo itatoka. nakumbuka enzi za shule wakati wa mvua walikua wanajaa kwenye majani nilikua nawafyeka sasa wakipasuka daaah kama ni siku ya nyama sigusiNi kweli
Basi ukimwagia ndo kitakuzidi, maana hutoa mimaji maji
Nyie ni wamakonde?Full protein
Kweli kabisa mkuu 100% nimewatoa sita kwenye simtank langu nilipo angalia chini ya maji nimekuta mavi yao kibao dah hawafai!!Mimi wanaweza fika hata 100 maana kuna kipindi 2007 walikuwa wengi sana na kazi yangu ilikuwa kuwaua
Wale usipokuwa makini wanapanda hadi kwenye matanki ya maji na wakiingia wanazaliana huko
wewe utakula uchafu kila mara
Ndio maana napinga sana imani za kimungu maana zinajenga ukuta. Wenzako wakiambiwa vitu kama hivi, huanza kufanya utafitiDuh!?! Kweli???
Mie hii kwangu mpya aisee. Dunia haiishi maajabu,duh!!! Mungu ana siri ya viumbe wake
We ni mmakonde?Chumvi inaondoa Ule utelezi unaomsaidia kumsogeza na kushikilia jumba lake! Yaani kama binadamu umwagie acid ndo chumvi ilivyo kwa konokono...
Kwa sie wala konokono tunatumia chumvi kuwasafisha ili kuondoa ule utelezi...
We kama unapinga kimpango wako, usiingilie imani za watu. Wanaoweza kufanya utafiti waache wafanye, sio lazima kila mtu awe mtafiti.. Nani atabaki kuwa msomaji ikiwa wote tutakuwa watafiti.Ndio maana napinga sana imani za kimungu maana zinajenga ukuta. Wenzako wakiambiwa vitu kama hivi, huanza kufanya utafiti
Kichefuchefu?... Sisi kwetu ni bonge la mboga, ukiipatia ilivyokaangwa hutataka kuiacha. Tafadhali wandugu msiyeyushe kitoweo.Itabidi nitembee nayo, hakuna mdudu simpendi km konokono. Anasababisha nisikie kichefuchefu nkimuona[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Wanayayuka kuwa nini,maji au...Kwa kweli... Mi nilikua napenda kweli hako kamchezo nishamwagia zaidi hata ya watano
Ndio maana sijakwambia ufuate ninachokwambia. Kama umekubali kuibiwa, shauri zako. Na kama hiyo mungu unaye mwamini yupo, mwambie yeye ni mpunbavu na ni bwegeWe kama unapinga kimpango wako, usiingilie imani za watu. Wanaoweza kufanya utafiti waache wafanye, sio lazima kila mtu awe mtafiti.. Nani atabaki kuwa msomaji ikiwa wote tutakuwa watafiti.