Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Tena Conc. Sulphuric acid [emoji23]Tena sulphuric ...
Tena Conc. Sulphuric acid [emoji23]Tena sulphuric ...
Usiniambie wana hela hivyo??????Yaani ulikua unakosa hela mkuu!!! Hiyo ungekusanya na kuwauzia wanaijeria!!! Yaani kwa bei rahisi konokono mmoja ni buku tatu!!!
Arts tutaendelea kuwamwagia chumvi tu hakuna namnaMambo ya kisayansi haya, arts tubaki wasomaji
Mbona unapotembea iwe kwa miguu au kwa gari hauinami chini ili kuhakikisha haukanyagi wadudu wadogo watambaao ardhini (sisimizi, siafu, mchwa, etc ) ili usiwaue? Uchizi sio lazima uokote makopo.
Unachanganya na diffusionThe answer to both questions ni kwamba.
Baada ya kuwekewa chumvi na kuona wanaanza kudehydrate, as a defence mechanism wataproduce alot of mucous ili ile chumvi iondoke mwilini/kwenye ngozi.
But this makes matters worse, kwavile ile chumvi itadisolve kwenye ile mucous na kutengeneza a solution yenye a high concentration of sodium/chumvi na hii inawafanya wadehydrate zaidi na kunyauka, since maji yote yanawatoka mwilini. Hii ni kwavile water/liquid molecules huwa zinamove from a less concentrated solution to a more concentrated solution ili kuleta balance, hii process ndo inaitwa osmosis.
So basically the protection doesn't work and therefore wanakufa kwavile wanakuwa wamelose maji yote ndani ya mwili wao.
Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Anachafua mazingira kwa kuchora akipita ktk kuta, anaharibu mboga za majani pia.Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Mi nisivopenda wadudu, ntamuongeza na pilipiliArts tutaendelea kuwamwagia chumvi tu hakuna namna
Hata cjui kwann,ila kwangu ni afadhali ya nyoka si jongoo[emoji20]Nilisikia eti ke wengi mkiona jongoo ni kama mmeona nyoka kwenu, hivi ni kweli na kwann,
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Konokono anaweza kuwa mharibifu hasa kwenye bustani. Anatafuna mimea inayoota hasa ikiwa laini. Wengine wanaleta magonjwa kama kichocho. Aina nyingine anauma viumbe vingine hasa wale wa baharini. Zaidi soma hapa Slug and Snail FAQ's
Hii ni kweli au tunasogeza masaa ya kufuturu?Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Mzee nick name yako tu, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tutakufanyia TAH upotee kabisa___lysis
Hapana mkuu jamaayuko sahii kabisa.Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Mmh una mpango wa kuwapelekea upoteaji wa viumbe hivi kwa hawa mabibi zetu wenye kuutaka ujana kwa gharama zozote?Konokono ute wake unatumika ...kuondoa makunyanzi usoni...na mwili mzima kwa ujumla... kwa watu wenye umri mkubwa ..
Kwa nini humpendi jongoo?Ingekuwa ni jongoo ukimuweka chumvi anayeyuka mm ningenunua gunia....
Siku hizi hipness kuwamwagia?hako kamchezo ka kumwagiana sio kazuri[emoji2] [emoji2]Kwa kweli... Mi nilikua napenda kweli hako kamchezo nishamwagia zaidi hata ya watano
Wana hela sana!!! Yaani ukipata wanaijeria wananunua ata wakiwa guniaUsiniambie wana hela hivyo??????
Siamini fursa imenipita