Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Kwanini Konokono (Snail) hasa wale ambao hawana gamba kwa juu wakimwagiwa chumvi wanayeyuka?

Ni Reaction gani hii?
Kwa sababu chunvi ni kiungo anasia ya kuwa unafanya maandaliza ya kumla anaogopa kuliwa inabidi ayeyuke.
 
Itabidi nitembee nayo, hakuna mdudu simpendi km konokono. Anasababisha nisikie kichefuchefu nkimuona[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Kuwa mpole mkuu kwa baadhi ya jamii huyo konokono ni msosi wanampiga mpaka wanajiramba tena wanamchanganya na tambi.
 
Konokono ute wake unatumika ...kuondoa makunyanzi usoni...na mwili mzima kwa ujumla... kwa watu wenye umri mkubwa ..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] situmii hata yasguke kuanguka, asee mtaumwa vichocho vya uso
 
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.

Hahahha
 
The answer to both questions ni kwamba.

Baada ya kuwekewa chumvi na kuona wanaanza kudehydrate, as a defence mechanism wataproduce alot of mucous ili ile chumvi iondoke mwilini/kwenye ngozi.

But this makes matters worse, kwavile ile chumvi itadisolve kwenye ile mucous na kutengeneza a solution yenye a high concentration of sodium/chumvi na hii inawafanya wadehydrate zaidi na kunyauka, since maji yote yanawatoka mwilini. Hii ni kwavile water/liquid molecules huwa zinamove from a less concentrated solution to a more concentrated solution ili kuleta balance, hii process ndo inaitwa osmosis.

So basically the protection doesn't work and therefore wanakufa kwavile wanakuwa wamelose maji yote ndani ya mwili wao.
Hapa nimekupata mubashara kabisa.
Asante mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hyo ingekuwa kwa binadamu.ningeishi kwa machale kweli.au ningeenda kuishi porini peke yangu.
Ungenikuta huko porini nishawahiwa halafu mimi nakuwahi wewe sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu sio konokono wote konokono wa bandia hata umwage kontena la chumvi hasikii
 
Kuwa mpole mkuu kwa baadhi ya jamii huyo konokono ni msosi wanampiga mpaka wanajiramba tena wanamchanganya na tambi.
agrrr, nilipita kusini nikakuta kuna funza fulani ule ute wake wa ndani unyonywa daaah, 🙄🙄
 
u
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
ulishawahi kupanda maharage uone wanavyokula
 
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Konokono husababisha magonjwa hasa tumbo. Zaidi wale wako na nyumba zao kabisa.
 
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Kwani mbuzi ana kosa gani, anaharibu nini??
 
Back
Top Bottom