Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Wanasahau kuwa kuua ni dhambi, tafadhari zingatia ahadi KUMI za mungu usiue, cooooocolo nyie
Duh....jamaa inaelekea we unakula matunda tuuu na mboga za majani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Maana akina ng'ombe,kuku,mbuzi,samaki n.k hawaliwi mpaka wauliwe
 
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Masikini wanamuonea konokono wa watu bure, hali zao la mtu, hali hela ya mtu ila bado wanamtoa roho tu....i love you my konokono
 
Ukicare wadudu/wanyama inapelekea kuwa na utu ns huruma kwa binadam wenzio...ukiwa muuaji wa viumbe vidogo vidogo hugaraduate kwa vikubwa!

Km mtoto anapenda kuua wadudu, wanyama, ndege ujue atakuja kuwa na roho ya ukatili....
Pata science ya bure hiyo
 
The answer to both questions ni kwamba.

Baada ya kuwekewa chumvi na kuona wanaanza kudehydrate, as a defence mechanism wataproduce alot of mucous ili ile chumvi iondoke mwilini/kwenye ngozi.

But this makes matters worse, kwavile ile chumvi itadisolve kwenye ile mucous na kutengeneza a solution yenye a high concentration of sodium/chumvi na hii inawafanya wadehydrate zaidi na kunyauka, since maji yote yanawatoka mwilini. Hii ni kwavile water/liquid molecules huwa zinamove from a less concentrated solution to a more concentrated solution ili kuleta balance, hii process ndo inaitwa osmosis.

So basically the protection doesn't work and therefore wanakufa kwavile wanakuwa wamelose maji yote ndani ya mwili wao.

Ukikosekana kwenye kamati ya Tatu ya kuchunguza makanikia basi nitaamini serikali ya awamu hii ina upendeleo wa kiwango cha lami.
 
Kwanini Konokono (Snail) hasa wale ambao hawana gamba kwa juu wakimwagiwa chumvi wanayeyuka?

Ni Reaction gani hii?
Conokono ana Caco3 halafu chumvi ni Nacl

(Caco3+Nacl_______Cacl+Naco3

Anavujika kwa sababu hii ni "decompostion reactio"
 
Back
Top Bottom