Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Chumvi inawafanya wadehydrate. Osmosis inaitwa.

Halafu hawayeyuki ila wanakuwa wanaproduce a lot of mucus ili kujiprotect ikitokea situation kama hiyo, hicho ndo kinawafanya waonekane kama wanayeyuka.
So,kwa maelezo yako Hayo hapo juu,kwamba wana produce mucus baada ya kuwekewa chumvi. Then what happen??
I mean wanakufa au wanakuwa wapo hai?
 
Mbona hawa rudi kuwa normal Tena after kuwa na shepu yao after protecting themselves
 
!
!
Dakika kumi na tano za ukimya na utulivu kwa wote wanaamini konokono huyeyuka akimwagiwa Chumvi.
 
ila ukitukusanya twingi ukatupika supu tutamu kweli,kama supu ya bamia
 
So,kwa maelezo yako Hayo hapo juu,kwamba wana produce mucus baada ya kuwekewa chumvi. Then what happen??
I mean wanakufa au wanakuwa wapo hai?

Mbona hawa rudi kuwa normal Tena after kuwa na shepu yao after protecting themselves
The answer to both questions ni kwamba.

Baada ya kuwekewa chumvi na kuona wanaanza kudehydrate, as a defence mechanism wataproduce alot of mucous ili ile chumvi iondoke mwilini/kwenye ngozi.

But this makes matters worse, kwavile ile chumvi itadisolve kwenye ile mucous na kutengeneza a solution yenye a high concentration of sodium/chumvi na hii inawafanya wadehydrate zaidi na kunyauka, since maji yote yanawatoka mwilini. Hii ni kwavile water/liquid molecules huwa zinamove from a less concentrated solution to a more concentrated solution ili kuleta balance, hii process ndo inaitwa osmosis.

So basically the protection doesn't work and therefore wanakufa kwavile wanakuwa wamelose maji yote ndani ya mwili wao.
 
Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom