Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Kwanini konokono akimwagiwa chumvi anayeyuka?

Kiasi kikubwa cha maji mwilini kinatumika ili kuyeyusha kiasi cha Chumvi kilichomwaga ktk mwili wake kwakua ana kuta laini nyembamba ktk ngozi yake zinazoruhusu upitishwaji wa vitu km chumvi, maji n.k
Na maji yakikata mwilini Suala la UHAI linakua Basi tena masuala ya Upumuaji,Mjongeo n.k hayafanyiki
 
The answer to both questions ni kwamba.

Baada ya kuwekewa chumvi na kuona wanaanza kudehydrate, as a defence mechanism wataproduce alot of mucous ili ile chumvi iondoke mwilini/kwenye ngozi.

But this makes matters worse, kwavile ile chumvi itadisolve kwenye ile mucous na kutengeneza a solution yenye a high concentration of sodium/chumvi na hii inawafanya wadehydrate zaidi na kunyauka, since maji yote yanawatoka mwilini. Hii ni kwavile water/liquid molecules huwa zinamove from a less concentrated solution to a more concentrated solution ili kuleta balance, hii process ndo inaitwa osmosis.

So basically the protection doesn't work and therefore wanakufa kwavile wanakuwa wamelose maji yote ndani ya mwili wao.
Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
 
Hawa wadudu ni wajingawajinga flani kama chura ukimchemsha kwenye maji
 
Ni kweli, ila ni somo gumu kwangu wakuu! Kwa mnaowauwa mjue mnaharibu chakula cha akina Xion Ping!
[emoji12] [emoji39] [emoji15]
 
Osmosis ndio inauwa.

Yaani maana yake ukiwa na solute molecules (chumvi au sukari) na ukawa na solvent(maji).

Solute+solvent=solution(kimiminika chenye chumvi na maji).

Sasa solution hua na concentration kubwa ya solutes hali hii hupelekea more solvent kuvutwa kutoka ndani ya konokono kuja nje (kwenye concetrated solution via a semi permeable membrane au niite ngozi ya konokono) hali hii ikiendelea basi konokono anaishiwa maji yote na anakufa.

Kitendo hiki(osmosis) unaweza kukifanya kwa kutumia kiazi kitamu(kisipikwe)

Pia kitendo hiki dhana yake ni kinyume na diffusion eg. perfume(body) spray, kwamba perfume hutoka katika high concentration kuja kwenye low perfume concentration ilihali osmosis maji hutoka kwenye high concentration of water(low solute concentration) kuja kwenye low water (solvent) concentration yaani kwenye high solute concentration.

Soma kwa makini ukiwa na haraka utaona huelewi flani.
 
Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Movement ya molecules za aina gani sasa? Kama ni movement of water(solvent) molecules from high water molecules to low concentration of water molecules basi jamaa uliyemsahihisha yuko sahihi nawewe umeungana nae but in a different way
 
Duh nina siku sijamuona konokoni.Enzi za barua tulikuwa tunatumia ute wake kugundishia barua.Wana gundi kuliko Super glue..
 
naomba kuuliza, ivi kichocho inasambazwa na nani hasaa kama sio snail? unlessa am mistaken kwenye biology olevel nlielewa hivyo. wajuvi wanikosoe . waonee huruma mwisho wakudhuru, sawa na kuwaone huruma mbu na inzi
Utakuwa sahihi kama ukiamini duniani kuna specie moja tu ya molusk,konokono ni kama mbu kuna wanaoneza malaria na wasio eneza ,kama nzi wanoneza cholera na wasio eneza ,kama papa wanao shambulia binadamu na wasio shambulia kama nyoka wenye sumu na wasio na sumu!
 
Ni jinai kuuwa viumbe usivyo kuwa na faida nacho, kwanza humli, hakuumi, haenezi maradhi, si mwanga kama mipaka au bundi wanavuodhaniwa, mwachie snail, wengine wakisikia watajaribu, ole nikikushika
Mkuu konokono hubeba vimelea vya kichocho!
 
Masahihisho,osmosis ni movement of molecules from high conc to low conc,ulichozungumzia ni reverse osmosis ambayo si natural,lazima kuwe kuna other force
Mtakuwa mnachanganya! Kuna osmosis na diffusion! Osmosis ni movement ya water molecules from an area with low concentration of solute to an area with high concentration of solute through a semi permiable membrane. Eg. Kama unakumbuka ile experiment ya kiazi, sukari and the way maji yanamove kati ya upande wenye/(au usio na sukari kabisa) sukari ndogo kwenda upande wenye sukari nyingi. Ambapo mfano mzuri ni hapo kwenye kutumia chunvi kuulia konokono.
Na diffusion ndo movement ya molecules from an area of high concentration to the area of low concentration. Example ni pale unapofungulia manukato yatoke kwenye chupa yake at one point of a room na kusambaa an entire room within a few minutes.
 
Itabidi nitembee nayo, hakuna mdudu simpendi km konokono. Anasababisha nisikie kichefuchefu nkimuona[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Acha ubnafsi mkuu, unataka duniani uishi peke yako? Acha konokono nao wapunge upepo, mana hata wewe kuna viumbe havikupendi hata na binadamu pia
 
Niliwahi kufanya hivyo roho ikaniuma nikammwagia maji harakaharaka.
Sipendi kabisa kuuwa viumbe wasio na hatia.
Kama konokono ana kosa gani jamani? Haumi,haaribu chochote.
Msijaribu,ni dhambi kubwa.
Njoo shamba uone wanavyoharibu mazao hususani ufuta kwa kuukata majani
 
Back
Top Bottom