Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Eti mdada papuchi haionekani ilipo, mwili jumba paja la haja na kiuno hakionekani kilipo. Sijui watu huwa wanafikiria nini

Hivi kuna mdada anaweza kupeleka mwanaume home/ghetto kwake siku ya kwanza tu kukutana? Hata kama mmechat mwaka mzima, kweli ni rahisi kiasi hicho?
Huyu labda alikua na lengo la kujifagilia kumbe ndo kaharibu kabsaaa

Hafu si muoni kwenye uzi wake
 
Mi ndio maana nishaonana na mmoja humu tulikula bata la kufa mtu na ni marafiki mpaka sasa,hao wengine onana nao utajutaa,,,
Ushaurii wadada wa huku kuweni makin na mtu unaeenda kuonana nae humu kuna type zote,

Kuna mmoja alitaka niingiza mjini akijua wa kuja,,kumbe mi nishagakuja mjini kitambo lakin nipo kijijini alinisikia tu
 
Eti geniveros hawa watu wa aina hii unawapataga wapi au tuseme wanaofanya mambo ya kipumbavu hivyo?

hamtuoni wahenga? achaneni na vitoto kwani mmekuwa wolpa...

baada ya kusema hayo, heb niitie Asprin huenda naye amesoma huu uzi akapata mawili matatu,,,
Niliyoyapata hapa bwana chairman ni kuwa.... hawa wafuatao wana sifa za kupewa kadi ya chama chetu
Linamo
Ms.Lincoln
geniveros
Jovitha

Uchenjuaji bado unafanyika kwenye smelters zetu.
 
Eti geniveros hawa watu wa aina hii unawapataga wapi au tuseme wanaofanya mambo ya kipumbavu hivyo?

hamtuoni wahenga? achaneni na vitoto kwani mmekuwa wolpa...

baada ya kusema hayo, heb niitie Asprin huenda naye amesoma huu uzi akapata mawili matatu,,,
mimi sijawahi kukutana na watu wa aina hii
ila wapo humuhumu na tunasikia malalamiko kila siku ya watu na wengine wanapeana makavu live
 
Back
Top Bottom