Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
BabyyyyOngezea utamu!
BabyyyyOngezea utamu!
HehehehNdio maana mimi huwa sina urafiki na mtu wa humu na sipendi urafiki na mtu niliyekutana nae ukubwani
Mm nimemwamini...ila nataka kujua tikiti la moro likoje kwnzAnayemuamini yule kaka ana utindio wa ubongo
Muulize atii afu si unajua wanaofanana wanaruka pamoja so sikushangai sana.Mm nimemwamini...ila nataka kujua tikiti la moro likoje kwnz
Yamekuwa hayo...Muulize atii afu si unajua wanaofanana wanaruka pamoja so sikushangai sana.
Maisha yashakuwa magumu Marioo wana mambo sana

Habari ya asubuhiUnasemezana nae nini? Sitaki wake wenza.
Ila wanaonesha upuuzi waokona zote wanatudhalilisha tu yaani hatuna pa kutokea hata kidogoo
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Hata watu wazima wapo humuuu, siyo watoto tu wanaofanya hivyo
Salama kabisa shemeji. Good morning!!Habari ya asubuhi

Nimekukumbukamo shemeji.Jambo la heri kama upo vizuriSalama kabisa shemeji. Good morning!!
Leo naona umetokea![]()
Nimefurahi kukuona shemeji.Nimekukumbukamo shemeji.Jambo la heri kama upo vizuri