Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Hapana...sio vizuri kabisa.
Jf ni kama mtaani kwako tu.Hata mtaani au kazini watu kuchepuka sio vizuri na haitowah kuwa vizuri ila ndio inatokea.
Napinga!,JF siyo kama mtaani kwangu kwa sababu kama JF ni sawa na mtaani kwangu mbona mimi huku JF nakula wake za watu kirahisi zaidi kuliko mtaani kwangu??[emoji30][emoji30]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom