Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.

Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako
kama uko sebuleni kwakooo...

tunajiachia hukooo...mwisho wa siku watu wanascreenshot na kutupia humu vyooooteee...

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
enheee...umenena point kubwa sana dada rubii...
mtu mzima umkashifu mtu kisa ameliwa au umemla...?!!

au unamchukia mwenzio au kumkashifu kisa kaliwa au kala mtu wewe msafi kiasi gani au ulikua unataka uliwe weyeee...!!!

tujifunze kustiriana jamani

ukinila uchune...hata ukijua kama nimeliwa kaa kimya

sent from motorola bapa and nokia jeneza


Ukosefu wa akili tu
Ukiwa bikra una haki ya kutamba kokote ukinyooshea watu vidole
 
Sitaki kuamini umetumia familia kama ngao ikiwa familia zetu nazo ni kitendawili

rap beast
 
Kabisa aisee yan ww ukijisahau
Kidogo tu umeukwaa

Watu huku hawanaga cr

Kama mods wakiamua kuyanika
Yanayoendelea huko pm
Kuna ambao wataikimbia jf
Kwa sababu ya unafki,umbea, n.k

[Color= yellow]Triple A[/color]
daahh...mi wa kwanza aiseeeh!!maana only GOD knows huko PM

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kabisa aisee yan ww ukijisahau
Kidogo tu umeukwaa

Watu huku hawanaga cr

Kama mods wakiamua kuyanika
Yanayoendelea huko pm
Kuna ambao wataikimbia jf
Kwa sababu ya unafki,umbea, n.k

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hii digitali inachangamoto si mchezo, wananza kwa siri huko yakiharibika wanapiga kelele watu wote tujue.

yakiharibika wamalizane wenyewe hukohuko kwa siri, wakija huku wakenue meno tu......
wakenue menoo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom